Uchaguzi 2020 Mbowe itampa wakati mgumu sana kumnadi Lissu

Kwa saula la radio na Tv, huwezi kuruhusu misinformation kama anazotoa. Huwezi ukaenda Kenya nakusema Tanzania kuna Korona watu wanakufa na kuzikwa usiku, hakuna cha social distancing, hakuna cha mask, kwenye harakati zake unaone anachukua hatua zozote kwa tahadhari ya korona? Be open on this. Ndo maana saizi ajenda ya Korona haiongelei hapa Tz, hindo vitu ambavyo vinamtia doa. Haiba ya uraisi hana, ila ana uanaharakati, awe mstaarabu na watu watakuwa wastarabu kwake.
 
Mahela yote yale mliogawa ila bado mnawasi wasi na Lissu ? Upinzani haukwepeki.
 
Kam

Kama mbowe akikosa confidence wewe na chama chako cha kijani kibichi na yesu wa Tanzania kinawauma nini?
Usilitaje Jina la Yesu bure, mtu mwenyewe kashasema mwaka huu hakuna cha kumwachia Mungu, we unadhani kutakuwa na Mungu upande wake? utamwitaje Yesu mtu kama huyo? Mahaba yatawaumiza mwaka huu, kupenda kwa kupitliza bila kuwa na kiasi, kitawatesa kwenye uchaguzi huu.
 
Mahela yote yale mliogawa ila bado mnawasi wasi na Lissu ? Upinzani haukwepeki.
We ndugu unanishangaza kweli, yaani Magu amtetemekee TL, ulimuona kwenye makininkia? alikuwa upande gani? Nani alishinda? tafakari
 
Nadhan shughulikia ya kwako kufeli kwa mpinzan wako ndiyo mafanikio yako
Soma uzi afu lete facts, don't invest on trivial stuff like this one, tunaongelea mambo makubwa kwa mstakabali wa taifa letu
 
Mkilala Lissu, mkiamka Lissu, mkiwa chooni Lissu, kanisani mnamuwaza Lissu, tulieni dawa iwaingie, huwezi mfananisha ibilisi na Mungu
Umesema kweli, ndo maana alisema mwaka hakuna kumwachia Mungu, it means........utajua mwenyewe
 
We ndugu unanishangaza kweli, yaani Magu amtetemekee TL, ulimuona kwenye makininkia? alikuwa upande gani? Nani alishinda? tafakari
Magu hata jina la TL hawezi kulitaja jinsi gani anamuogopa mwaka huu mwisho wenu.Pambavu
 
Magu hata jina la TL hawezi kulitaja jinsi gani anamuogopa mwaka huu mwisho wenu.Pambavu
You idiot son of a bitch, Magu hawezi kuhangaika na mtu kama yule
 
TL siyo Lowassa, TL ni zao halisi la upinzani, Kuhusu suala la Mh. Mbowe kutokuongea chochote, ni kwamba mda wa kampeni bado. subiri mda ufike utamsikia vizuri Mh Mbowe akimnadi Mgombea urais Mh. Tundu Lissu.
 
TL siyo Lowassa, TL ni zao halisi la upinzani, Kuhusu suala la Mh. Mbowe kutokuongea chochote, ni kwamba mda wa kampeni bado. subiri mda ufike utamsikia vizuri Mh Mbowe akimnadi Mgombea urais Mh. Tundu Lissu.
Kumlinganisha Mh. Lowasa na TL, nikumdhalilisha yule Mzee wa watu. Yule alikuwa na mvuto wa kisiasa hatari. Ndugu yako huyu anaonge utadhani anataka kumpiga mtu, kajaa jaziba mpaka kapitiliza, atakuwa raisi gani wa namna ile?
 
Nyie jamaa na jiwe wenu mmefanya kampeni na kutukana watu miaka mitano peke yenu, mmevumiliwa. Lissu kuongea week moja tu mikanda imeanza kupwaya. Mods hizi threads zinazomuhusu Lissu kutoka kwa wanalumumba mziunganishe ziwe moja
Labda kama hii ni forum ya Ufipa
 
Kejuu mwenzio onyango kaandika huko Twitter kuwa Tz maiti kila mahali sababu ya covid 19 ujinga na wivu unasababisha muone yasiyokuwapo.
 
Kejuu mwenzio onyango kaandika huko Twitter kuwa Tz maiti kila mahali sababu ya covid 19 ujinga na wivu unasababisha muone yasiyokuwapo.
DC kitambi hakukosea lile jina mkuu, hivi hizi maiti zinakuwa wapi? Hawa jamaa ndo maana wanaitagwa manyumbu mkuu
 
Hivi wewe unamjua Magu, usijitoe ufahamu, Magu is one of the best president of our life time ever! Dunia nzima wanamjua wewe usilete utani kabisa. Amelipa heshima kubwa saba taifa letu
 
Kama saizi ameshaanza kupoteana hivyo, Mh. Magu akianza kuzunguka itakuaje?
Chadema wameingia mkenge kwelikweli safari hii, mgombea wao asipobadilika wataambulia sifuri yeye anaongelea kushambuliwa na corona tena kwa sauti ya kufoka ingawa leo kidogo kajirekebisha alikuwa hafoki ila alijisahau akaanza kuhubiri mafanikio ya marais waliopita ya kwamba walijenga reli barabara, mabwawa ya kuzalisha umeme, flyovers, mashule na n.k. Bado hajaeleweka kwa wananchi nia hasa ya yeye kugombea urais anataka awafanyie nini watanzania. Ngoja tusubiri kampeni rasmi zikianza labda atabadilika lakini kwa mwendo huu wa sasa kuna walakini mkubwa.
 
20,000/= uliyopewa ndio imeishia hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…