Uchaguzi 2020 Mbowe itampa wakati mgumu sana kumnadi Lissu

Kipindi hichi kuna kundi moja la siasa watakuja kuhadithia kitakachowatokea yan hawatoamin kabisa kile ambacho kitamkuta mgombea wao kwenye sanduku la kura ni suala LA muda tu
Wape tahadhari mkuu, maana wameshaanza kubwabwanja, safar hii hawa muachii Mungu, tafsri yake wanataka kuleta vuru, Mungu anawaona
 
Hivi wewe uko tz? Yawezekana hata hujui tuko kwenye uchumi wa kati, ndo unaamini tz watu wankufa na kuzikwa usiku sababu ya korona, jitafakari
Kwani hawakufa na kuzikwa usiku???
 
Hivi wewe uko tz? Yawezekana hata hujui tuko kwenye uchumi wa kati, ndo unaamini tz watu wankufa na kuzikwa usiku sababu ya korona, jitafakari

Hata Zimbabwe iko uchumi wa kati
 
Mtetezi wa mabeberu kivipi??? Embu fafanua ueleweke ????

Alafu ukiwa unafafanua tuambie kampuni inayojenga uwanja wa ndege Chato ni ya nani??? Na ujenzi wa ule uwanja unatumia gharama gani na zilipitia utaratibu upi kuidhinishwa???
Kule chato ni Kenya? Hawastahili kupata kiwanja?
 
Hivi wewe unamjua Magu, usijitoe ufahamu, Magu is one of the best president of our life time ever! Dunia nzima wanamjua wewe usilete utani kabisa. Amelipa heshima kubwa saba taifa letu
Heshima au aibu? Pale Kenya gavana mmoja alitamka, "uongozi ya Magufuri ni aibu kwa Afrika nzima".

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Narudia tena, huu utoto katafute watoto na wapuuzi wenzio uwalishe.
 
Kule chato ni Kenya? Hawastahili kupata kiwanja?
Nimekuuliza swali langu nataka ujinibu! Kampuni inayojenga uwanja wa ndege wa Chato ni ya nani?? Na mchakato wa iyo kampuni kujenga huo uwanja ulipitishwaje??? Kwa utaratibu gani????
 
Ha ha ha mtamsafisha sana Meko lakini hasafishiki kwa ulimbukeni wake na ushamba.

Safari hii hachomoki hata atembee majukwaani akiwa na wasanii wa nchi nzima.
 
Bora wana Saccos kuliko wauzaji na watekaji,Lissu kawashika pabaya sana mpaka kila mkikaa na mkilala mnamuwaza
Tunalihurumia taifa kuingiliwa na kuangukia kwenye mikono haramu
 
kwa kutumia narrative yako, tunaweza ku draw logically simple conclusion kama ifuatavyo....

kwa vile high confidence ya Mbowe 2015 ilipelekea Lowasa kushindwa uchaguzi, it means Mbowe's confidence is indirectly proportional to election victory and therefore the following hypothesis is true:

2015: Mbowe's high confidence, Lowasa lost
2020: Mbowe's low confidence, Lissu to win

sijatunga kitu chochote hapa bali nimetumia narrative yako mwenyewe mleta mada!
 
Mimi nikuhakikishie jambo moja.


UPINZANI haukuwahi kupata mgombea Urais kama huyu wa Sasa.

Huyi ndio aina ya wagombea Urais kutoka Upinzan ambao Dunian kote ndio huleta mageuzi .

Sio watu lege lege.
 
Ha ha ha mtamsafisha sana Meko lakini hasafishiki kwa ulimbukeni wake na ushamba.

Safari hii hachomoki hata atembee majukwaani akiwa na wasanii wa nchi nzima.
We utaona, itakuwa kama kwenye unafiki mliokuwa mnaufanya kipindi cha korona, ila ulifeli, na mpaka Leo tunadunda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…