Uchaguzi 2020 Mbowe itampa wakati mgumu sana kumnadi Lissu

Punguwan* nini? Unamwona Lissu anahitaji kunadiwa. Mbona Rungwe, Lupumba, Mutamwega na wagombea wengine mmewasahau?
 
Hayo ni mawazo yako, utashangaa matokeo. Chadema hawawezi kupata urais lakini upinzani utachukua nafasi kubwa ya majimbo . na hii inatokana na NEC kusema kwamba atakayeshinda atangazwe
 
Nimekuuliza swali langu nataka ujinibu! Kampuni inayojenga uwanja wa ndege wa Chato ni ya nani?? Na mchakato wa iyo kampuni kujenga huo uwanja ulipitishwaje??? Kwa utaratibu gani????
We unajua ya nani?
Mimi nikuhakikishie jambo moja.

UPINZANI haukuwahi kupata mgombea Urais kama huyu wa Sasa.

Huyi ndio aina ya wagombea Urais kutoka Upinzan ambao Dunian kote ndio huleta mageuzi .

Sio watu lege lege.
Ni kweli kabisa haijawahi tokea raisi wa tz kuwa na microchip ambaye anaremotiwa na mabeberu
 
We unajua ya nani?

Ni kweli kabisa haijawahi tokea raisi wa tz kuwa na microchip ambaye anaremotiwa na mabeberu
Kwa iyo hujui ni ya nani?? Basi endelea kumpigia chapuo huyo magufuli wako huku mwenzako anazidi kuwa tajiri tu. Kalagha bao punguani wa mataga we!!
 
Analysis za kipopoma kabisa, umfananishe mbowe na tl? Muache basi mzee wa watu, usimdharishe
 
Hayo ni mawazo yako, utashangaa matokeo. Chadema hawawezi kupata urais lakini upinzani utachukua nafasi kubwa ya majimbo . na hii inatokana na NEC kusema kwamba atakayeshinda atangazwe
Hujui mbowe ana wasi wasi mkubwa sana, hata inampelekea kuloose confidence?
 
We unajua ya nani?

Ni kweli kabisa haijawahi tokea raisi wa tz kuwa na microchip ambaye anaremotiwa na mabeberu
Unakuta nawewe ni msomi lakini umejazwa na ujinga ,matope ya kufugia minyooo kichwan.

Kama umeoa basi moja ya wanawake waliolewa na wanaume wanaojiona wajanja lkn wake zao wanajua wameolewa na vilaza ila wanavumilia tu..ni Mkeo .

Bonge la kilazaaaa weee jamaa.
 
Hivi wewe unamjua Magu, usijitoe ufahamu, Magu is one of the best president of our life time ever! Dunia nzima wanamjua wewe usilete utani kabisa. Amelipa heshima kubwa saba taifa letu
Amefanya nini cha maana mpaka awe the best . ameshindwa kuongeza mishahara miaka 5 , amaeiba fedha za wakulima wa korosho mtwara na Lindi, ameshind kila eneo linalogusa makundi ya jamii
 
Umeongea ukweli mtupu, ila kuna watu humu watakuja wanafikiri kwa kutumia midomo watakuja kukutukana.
 
Amefanya nini cha maana mpaka awe the best . ameshindwa kuongeza mishahara miaka 5 , amaeiba fedha za wakulima wa korosho mtwara na Lindi, ameshind kila eneo linalogusa makundi ya jamii
Dogo tafiti ndugu yangu ujue unachoongea
 
Mahela yote yale mliogawa ila bado mnawasi wasi na Lissu ? Upinzani haukwepeki.
CCM waliomba sana chadema wampitishe Nyalandu kwa sababu Ndio walikuwa wanamuweza. Sasa wasiye mtaka kapitishwa,kila mmoja Analia, nape Amalia, bashiru Analia, Pole pole Analia. Hii inatokana na Lisu hana makando kando hivyo hoja yao imebaki moja tu ametumwa na mabeberu ndio watakayoinandi majukwaani. Lakini hoja kama hoja CCM hawana zaidi ya hiyo. Kwa sababu LISSU ni msafi kuliko Magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…