Mbowe jifunze haya kwa mwenzako Zitto

Sawa lakini si ameachia nafasi kubwa atakuwa mwanachama wa kawaida na wengine wataongoza,shida Iko wapi?
Ila mwamba huwa nakukubali sana kwenye kutetea waumini wenzako!! Naona ile slogani imekuingia sana, "Islam nduguye Islam"
 
Binafsi naanza kuielewa sana ACT wazalendo. Kwanza inajitahidi kuleta balance kwenye suala la dini. Jambo hili ni muhimu sana lakini CDM wanalipuuzia. Pia Kitendo cha Zitto kung'atuka ni kama maajabu kwa vyama vya upinzani nchini. Naiombea ACT izidi kuimarika.
 
Hapa kuna vipengele ambavyo Mbowe, kama mwenyekiti wa chama chake, anaweza kujifunza:
Ni mpumbavu pekee ndo anaweza kamshauri Mbowe ajifunze kitu kutoka kwa Zitto!
Kifupi tu ni kwamba Zitto ni project ya ccm kwa ajili ya kudhoofisha upinzani.
Kwa Zanzibar ccm wamefanikiwa kwa 100%!
 
Mbowe anawasumbua kweli.

Siku ambayo mtamchagua Mwenyekiti wa Chama ambae sio Rais (ukiondoa Mwalimu) ndio mtaweza kumnyooshea kidole Mbowe.

Amandla...
 
UnalinG
Mtanzania halisi! Unapomlinganisha
Typical Tanzanian. Unapolinganisha vitu 2, unaonyesha kilichoko moyoni mwako. Endelea na ulinganishe pia ACT na CDM kama vyama vya upinzani na mwonekano wao kitaifa na kimataifa. Linganisha pia nguvu za vyama kama vyama vya upinzani. Kipi kinaonyesha upinzani wa dhati? Wote wana katiba zao na wana wanachama pia. Ikiwa wanaCHADEMA wanampenda Mbowe, unatokea wapi na hayo unayoyapendekeza!? Nyerere alitawala vyama vyake miaka mingapi na kw nini? Nionavyo mm, waache CDM wafanye wafanyalo na mwache Mbowe atende watakavyo wana CDM, hao wengine pia waache wafanye watakavo, wananchi wataamua nani mpinzani anayestahili heshima nawe tulia, endelea na unachokipenda, achana na Mbowe ...au!?
 
Yaani mwl ajifunze kwa mwanafunzi msaliti ! itakuwa ajabu sana !
 
CCM ianze kuonyesha mfano kuachia vyama vingine kuongoza.
 
sasa kugombea ubunge ni uhuni [emoji205]
Wewe mwenyewe muhun hukuna mnachofanya mnawaza ngono tuu
Mmeambukiza watoto wa watu ukimwi Sana

Mmekuwa kama mbwa asiyekuwa na meno
 
5. Kukataa Kutamalaki Madaraka:
Funzo linalohusu kukataa kung'ang'ania madaraka na badala yake kuweka mifano ya kuachia nafasi kwa wengine kwa kizazi kipya cha uongozi.

Kwa VICOBA wakifanya hii mniite mbwa[emoji28][emoji28]
Mbona ccm hawatak kuachia madaraka
Kwani hakuna vyama vingine
 
Ngoja tuone input yake huyo m/kit mpya ndio tujeng Hoja
 
Mbowe ni mungu wa CHADEMA, kwa sababu chama ni baba mkwe wake hawezi kumwachia chama MTU mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…