Mbowe jifunze haya kwa mwenzako Zitto

Lini mchaga aliachia uongozi kwa hiari? Ni waroho na wabinafsi sana. Hiyo ni kampuni yake siyo chama cha siasa.
 
CCM tangu limit akawa mshaiuri wa wapinzani majibu yamepatikana uchaguzi mdogo wa madiwani na kesi juu
 
Kuna Watanzania wanamchukia Zitto vibaya sana. Huyu Muhaa nadhani alikuwa anatembea na wake za watu. Hii sio chuki ya kawaida.
 
Ungejua Zitto Kabwe alivyowauza wapemba kwa CCM usingeandika ulichoandika. Wapemba waliuliwa na kuumizwa wengine kuachwa vilema kwenye uchaguzi wa 2020,Marehemu Maalim Seif na wenzake waliweka msimamo mkali wa kutotaka tena upuuzi wa SUK hadi wahusika wa madhila yale wawajibishwe kwanza.

CCM kwa kujua kuwa Zitto Kabwe ndiye mwenye chama wakamuhahi wakafanya biashara akakubali kumlegeza Maalim Seif ili akubali kuundwa kwa SUK,Maalim hakuwa na jinsi kwani mwenye chama keshaamua hivyo, ACT waliingizwa kichwa kichwa kwenye Serikali hiyo kwa shingo upande ndiyo maana baada ya Zitto kuachia ngazi wanataka kujitoa,huyo ndiye Zitto Kabwe mfanyabiashara ya siasa unayetaka Mbowe ajifunze kutoka kwake. Zitto Kabwe ni snitch anaangalia maslahi yake kwanza.
 
Kampikie mumeo Irene ale na kukula... inaonesha unapenda kubadili badili sana etiii??
Elewa uenyekiti wa upinzani hii nchi si kama uenyekiti wa vikoba vyenu kama unaakili tizama wapinzani ruundo walivyonunuliwa anzia kina sla,lipumb,nasar,mde,lijua,molel nk. nk.
Unadhani ni lelemama eeh!! Kaa kwa kutulia isijekosea njia
 
kusema kuwa Mbowe ajifunze Kwa Zitto ni matusi MAKUBWA tena ya nguoni, Zitto ni mzandiki, msaliti, fedhuli, ndumila kuwili, halafu ni mdini wa kutupwa na si mvumilivu, sifa alizonazo Mbowe ni kinyume na zile za Zitto.
 

Duh! Wanafiki mna kazi ngumu sana. Yaani unamuasa mtu ajifunze toka kwa Zito!! Mtu mnafiki kiasi kile, ujifunze kitu gani toka kwake?

Kiongozi yeyote atakayejifunza kutoka kwa Zito halafu akawa mnafiki kama Zito, atakuwa amekiua chama.

Ninyi mnaotaka kujifunza toka kwa Zito amewazuia nani? Jifunzeni toka kwake, muweze kuvijenga chama chenu. Ya nini kuhangaika na huyo Mbowe? Kama Mbowe na CHADEMA yake wanafanya hovyo kiasi hata cha kuhitajika kujifunza toka kwa Zito, si ndiyo heri yenu ninyi ACT? Pambaneni na ACT yenu, ya Mbowe, waachieni CHADEMA. Hata wakitaka Mbowe aongezewe uongozi miaka 15, ni sawa tu, alimradi katika yao inaruhusu hilo.
 
Chadema ni saccos ya kuingiza pesa Kwa Mbowe,hayo unayoyasema hayawezekani.Ila Kuna nyumbu watabisha [emoji23][emoji23]
Mwingine mwenye mkataba na upunguani huyu hapa. Nawachukia wehu wanaofurahia na kujivunia uwendawazimu.

Mtu anasema chama cha siasa ni Sakosi, kweli huyo mtu atakuwa ni mzima wa akili? Hiyo Sakosi aliisajili yeye? Ukimsikia mtu anasema hivyo unajua ni miongoni mwa yale mapunguani yanayoidhalilisha CCM kwa sababu huwa yanajishikamanisha na CCM, na kuifanya CCM ionekane kuwa ni chama kilichojaza wendawazimu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…