Mbowe katoka gerezani, Tundu Lissu yupo kimya, inashangaza! Ukimya unamaanisha nini? Kwanini Mbowe hajamtaja Lissu katika interview zake?

Wee utakuwa Chahali au umetumwa nae. Kuhoji Tundu Lisu kwa nini haongei,,,nyie ndio mliratibu mazungumzo yake kule Belgium!???

Keshamaliza kazi yake,Mbowe yuko uraiani.

So what?
 
Ewe mfitini on
 
Wakili msomi Tundu Antipas Mughwai Lisu kwa taarifa nilizokuwa nazo ndio alikuwa sehemu ya mlango wa nyuma aliyekuwa anamuombea Mbowe afungwe. Yeye na wenzake walikuwa na malengo mkuu kadhaa, mosi Lisu alitaka Mbowe afungwe ili achukue Uwenyekiti. Pili, yeye na wenzake walikuwa wanatumia KESI ya Mbowe kijitafutia fedha Kwa wadau.

Kitendo Cha Mbowe kutoka imetia dosari kwenye safari Yao.
 
Lissu ni mtiifu sn anasubiri mwenyekiti wake kwanza atoe mwelekeo kabla ya yy nae kuongea....... Hapo sio kila mtu kambare
 
Upate uji wa ulezi nalipa
 
KWA akili hizi nchi itachelewa kupata maendeleo, ccm kuna upuuzi mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…