Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Get well soon
Hivi huyu Job Ndugai alikuwa na sababu ya maana kwenda kumjulia hali Mbowe? Maana kwa kauli anazotoa, ni kama alikwenda kuhakiki maumivu ya mbowe kama dozi inatosha au iongezwe. Uadui wa aina hii kwenye siasa ni hatariMungu awalipe kwa kuwapa pigo takatifu mpaka wajute kwani wamejisahau sana kufikia hatua ya kusahau kuwa kuna Mungu.
Wamebakiza hatua ya kupiga teke na kutemea mate maiti za wale wenye itikadi tofauti na wao, huku kwingine wameshamaliza...
Kaka wachawi hawanaga aibu, anamloga mwanao lakini ndiye kwa kwanza kuchimba kaburi na kushusha maiti.... usishangae!!Hivi huyu Job Ndugai alikuwa na sababu ya maana kwenda kumjulia hali Mbowe? Maana kwa kauli anazotoa, ni kama alikwenda kuhakiki maumivu ya mbowe kama dozi inatosha au iongezwe. Uadui wa aina hii kwenye siasa ni hatari
Kuna watu mnaonyesha ujuha sana wa mambo haya. Mnakariri mambo. Kwani lengo la social distancing ni nini? Na ukiwa umevaa barakoa unahitaji social distancing ya umakini kama hata huongei au kukohoa na kupiga chafya bali unahitaji kupiga picha kwa sekunde kadhaa tu?Alafu ndiyo hao hao wanaokuja front of th' camera wanasema kuna corona wakati hapo walipo wamebanana a.k.a zero distance.
Kama umevaa barakoa distancing ya nini kamanda!Heko kwa kuvaa barakoa. Mfano mzuri. Lakini mbona hakuna distancing?
Haijawahi kumuacha mtu salamaMlevi anaumia?View attachment 1474303
unataka nini kwani?Heko kwa kuvaa barakoa. Mfano mzuri. Lakini mbona hakuna distancing?
[emoji2][emoji3][emoji1]Viongozi wa chadema comedy tosha wanajua adi kuweka pozi la picha[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah,, huna
Alafu ndiyo hao hao wanaokuja front of th' camera wanasema kuna corona wakati hapo walipo wamebanana a.k.a zero distance.
Hoja inayozungumzwa ni "kuumia kwa Mbowe". Habari za korona zinaingiaje ktk hoja hiyo?Heko kwa kuvaa barakoa. Mfano mzuri. Lakini mbona hakuna distancing?