Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,090
- 13,527
Ni wakati wa mbowe apumzike sasa.20 years plus inatosha.
"Leo asubuhi nilikuwa miongoni mwa viongozi na maafisa wa Chama tuliofika kumjulia hali Mh Mwenyekiti Freeman A. Mbowe. Pamoja nami alikuwepo Mh. Godbless Lema Mbunge na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, James Mbowe na Aallan Bujo.
Mwenyekiti wetu kaumizwa sana, kaumizwa sana, Tumuombee kama ni oparesheni na matibabu mengine yaende salama apone haraka.
Mwenyekiti wetu kaumizwa sana, Wanaoendeleza porojo kuwa alilewa akateleza na kuanguka wapuuzeni, Jeshi la Polisi ikiwa litakuwa na dhamira ya kuchunguza jambo hili naamini halitaacha kuwahoji wapotoshaji hawa wakiongozwa na Job Ndugai, Lusinde, Lijualikali, Silinde nk.
Uzuri Mbowe hajafa, akili yake na Moyo wake ni nzima isipokuwa mwili ndio umeumizwa. Hivyo uzushi wowote unaofanywa na makundi toka ccm watambue Mbowe anazungumza na akili yake iko vizuri.
Na Yericko Nyerere"
Huwa wanasahau siasa za propaganda na maisha halisiAlafu ndiyo hao hao wanaokuja front of th' camera wanasema kuna corona wakati hapo walipo wamebanana a.k.a zero distance.
USISAHAU mkuu pia wamejiongezea kinga kikatiba wasishitakiwe.Hivi huyu Job Ndugai alikuwa na sababu ya maana kwenda kumjulia hali Mbowe? Maana kwa kauli anazotoa, ni kama alikwenda kuhakiki maumivu ya mbowe kama dozi inatosha au iongezwe. Uadui wa aina hii kwenye siasa ni hatari
Bwashee, na wewe ni MKRISTO? (Kuna watu uliwauliza swali hilo, kutokana na KEJELI ZAO)Sawa mbunge kivuli wa Kigamboni!
Namimi nakuunga mkono mkuu tungekuwa na usalama wa taifa wazuri wasingeacha wanasiasa wafanye haya wayafanyayo Leo.Sijui kama wote tunaiona hatari inayoelekea kuja hapo mbeleni,kukosekana wapinzani bungeni na ukandamizaji unaotokea vitajaibuka vikundi hatari na mashambulizi yanaweza elekezwa kwa wanaocheka Leo. Tujitizame Mimi ninawasiwasi maana wanasemaga what goes around comes around
Bado jumapili wataenda kanisani kuomba waombewe mbele ya MADHABAHU jamani Kama kweli Mungu yupo haya atayajibu kwa wakati wake kutakuchwa tu Haina shida.Ww ndio umezungumza uhalisia na jinsi ya kumaliza hizi porojo zinazopigwa. Toka jana najaribu kuangalia nani ataongelea hizo CCTV Camera, inaonekana ni kweli alipigwa, ndio maana toka jana mpaka leo polisi haisemi chochote, bali upotoshaji uliofanywa bungeni ndio unataka kugeuzwa kuwa ukweli wenyewe.
Nakushauri tu usome majukumu ya viongozi, kuwa mfano mzuri kwa wale anaowaongoza. Sina sababu ya kufuatilia mambo anayofanya bali ni katika kanuni za kuwa kiongozi wa jamii/chama chochote.
BTW I wouldn't care less about his injuries if he was there to reflect the matters/issues pertaining to his people/leadership skills etc. As he has shown no regard to those he is leading then why at all will I or anybody else cared whether his leg was broken or not. If Mr Mbowe continues to disregard or does not want to be an example, why then should he be a leader? If he wants to continue to be an alcoholic thug he should rethink is position.
Kwani hiyo hela Hela unatoa weweNasubiri bill ya matibabu utaambiwa ni 1m kwa siku wakati mguu umeshawekwa p.o.p na anaweza kaa nyumbani.
Hoja zako ni sahihi kabisa, hasa ikizingatiwa kuwa Mbowe kama binadamu ana maisha yake, marafiku na maadui. Kinachoharibu tukio/mkasa uliompata ni pale unapohusishwa na siasa pasipo ushahidi, ila hisia tu. Hivyo basi, upande wa siasa unaotuhumiwa nao wana uhuru na haki ya kujibu tuhuma hizo kwa njia ambayo wanaona inafaa.Nje na siasa,Mbowe ni mwanadamu,Mbowe ni baba wa familia,Mbowe ni tegemezi,Mbowe kuna watu wanamlilia shida na analazimika kuwasaidia kwa sababu ni sehemu ya familia yake,Mbowe kuna watu wana muita baba,kuna wanamuita mjomba,kuna wanaotegemea pesa kutoka mfukoni kwake ili wale,ili wasome,ili wapate matibabu na mambo mengine.
Kuumizwa kwa Mbowe,au hata kuumia binafsi isiwe sehemu ya kumkejeli wala kumsema vibaya kwa sababu hamjui nje ya siasa anaishi maisha gani, hamjui ni nani leo ameumia kwa sababu ya Mbowe kushindwa kuhamka na kufanya kazi zake nyingine kama tegemezi.
Muhimu ni kumuombea apone haraka, siasa ipo wakati wote hadi mwisho wa dunia,lakini uzima haupo wakati wote.
Akipona tukirudi katika ulimwengu wa kisiasa.huko ni ruksa kumtukana tusi lolote maana halitompunguzia kitu chochote.
Siasa zisitenganishe utu wetu.
Nakushauri tu usome majukumu ya viongozi, kuwa mfano mzuri kwa wale anaowaongoza. Sina sababu ya kufuatilia mambo anayofanya bali ni katika kanuni za kuwa kiongozi wa jamii/chama chochote.
BTW I wouldn't care less about his injuries if he was there to reflect the matters/issues pertaining to his people/leadership skills etc. As he has shown no regard to those he is leading then why at all will I or anybody else cared whether his leg was broken or not. If Mr Mbowe continues to disregard or does not want to be an example, why then should he be a leader? If he wants to continue to be an alcoholic thug he should rethink is position.
KabisaHoja zako ni sahihi kabisa, hasa ikizingatiwa kuwa Mbowe kama binadamu ana maisha yake, marafiku na maadui. Kinachoharibu tukio/mkasa uliompata ni pale unapohusishwa na siasa pasipo ushahidi, ila hisia tu. Hivyo basi, upande wa siasa unaotuhumiwa nao wana uhuru na haki ya kujibu tuhuma hizo kwa njia ambayo wanaona inafaa.
Huoni wamevaa nini?Alafu ndiyo hao hao wanaokuja front of th' camera wanasema kuna corona wakati hapo walipo wamebanana a.k.a zero distance.
Kwa upande mmoja hoja yako ina mantiki pale Bunge, chini ya Spika, limeshabikia tuhuma ambazo hazijathibitishwa. Kwa Taasisi kubwa kama hiyo, tulitegemea ingetumia busara kusubiri matokeo ya uchunguzi na si ushabiki.Ndugai sina hakika kama ana akili timamu , nimeomba mara nyingi Chadema kuacha kushirikiana na wanaccm hata kwenye misiba , hilo ni kundi lenye kushabihiana na wachawi , ndio maana sikutaka jana Mwanaccm yeyote kwenda kumuona Mh Mbowe hospitali , si Waziri mkuu wala Rais , hawakutakiwa kuruhusiwa