Mbowe kaumizwa sana, kufanyiwa oparesheni

Umekuja kujitangaza hapa sasa unadhani wanakigamboni watakuapa kura kwa habari za uzushi kama hizi
 
Kila nafsi itaonja umauti
 
Kikosi kazi cha usanii
 

Attachments

  • Screenshot_20200610-210548.jpg
    42.5 KB · Views: 13

Je, mlimuuliza alikuwa anakwenda/kutoka wapi usiku wa manane?
 
Mimi binafsi toka Jana nishaamua sitatoa pole kwa kiongozi yeyote Wa ccm akifa wala kuumwa, nitashangilia tu.Kilichofanywa Jana bungeni kushangilia na kukejeliwa mbowe kwa yaliyompata maccm Ni wanyama.
 

Ww ndio umezungumza uhalisia na jinsi ya kumaliza hizi porojo zinazopigwa. Toka jana najaribu kuangalia nani ataongelea hizo CCTV Camera, inaonekana ni kweli alipigwa, ndio maana toka jana mpaka leo polisi haisemi chochote, bali upotoshaji uliofanywa bungeni ndio unataka kugeuzwa kuwa ukweli wenyewe.
 

Watangazie aliokuwa nao. Habari za walevi peleka kule
 
Je, mlimuuliza alikuwa anakwenda/kutoka wapi usiku wa manane?

Hakuna Katazo la kutembea usiku nchi hii. Na Mbowe sio mwanafunzi wa boarding school, useme alikuwa wapi nyakati za usiku. Labda kama umekosa hoja ila unataka uonekane na ww umechangia mada za hali ya Mbowe. Mke wake ndio anapaswa kumuuliza alitoka wapi usiku, sio sisi wanaume wenzake.
 
Kwa kweli inasikitisha sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni chizi tu ndio huwa anaamini sarakasi zenu, nyie ndio mlisusia hadi bunge kisa CORONA, na hadi Sasa tunaamini na kujua bado CORONA ipo Sasa mtueleze sa7 USIKU alikuwa anatoka wapi!? Wakati tunajua mnajali sana Afya zenu!?? Jana mmelundikana hapo DCMC na sasahv mmekaribiana kuweka pozi la picha afu mlivyo serious na mapambano dhidi ya CORONA mka zero Distance bila wasiwasi kabisa...


CDM ni comedian Wazuri sana sahv huruma za wananchi hampati tena kwà visa vyenu hivi cheap!!!
 
Mkuu huyu ni ndugu malisa kachambua hili,tatizo vijana wengi hawatumii akili zao vizuri waimeishia kuwa mashabiki tu
 
Bunge lina watu wenye uwendawazimu. Uwendawazimu ni ugonjwa. Si jambo la ajabu mtu kuugua uwendawazimu. Ajabu ni kuona wenye uwendawazimu wanapewa nafasi ya kuwawakilisha walio wazima bungeni.

Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kunena kuwa Mbowe alianguka kutokana na ulevi. Hivi kuna mtu anaweza kushindwa kujua kama nimeanguka au nimepigwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ukishakuwa Kiongozi lazima ukubali kwamba Watanzania watahitaji kufahamu shughuli unazofanya hata usiku wa manane. Kama unahitaji mkeo tu ndio akuulize usiwe Kiongozi wa chama au Serikali. Kaa nyumbani na familia yako usijihusishe na uongozi, matendo yako ukiwa kiongozi yana matter.
 

Usiku Mbowe alienda kunywa pombe maana hajaanza jana na wala hataacha. Hakuna mtanzania ana muda na maisha binafsi ya Mbowe baada ya muda wake wa kazi. Jifunze kutofautisha majukumu ya kazi na maisha binafsi ya kiongozi. Labda uwe shambenga ndio utamfuatilia kiongozi hata wakati wa muda wake binafsi.
 
Nje ya mada kidogo.. picha kali sana! Yani mmetokelezea mbaya! Big up sana wakuu! Yani mmeua mbaya.. hapo kakosekana mwamba tu ila sio kesi mmeiaribia kamera kinoma yani👊
 

Nakushauri tu usome majukumu ya viongozi, kuwa mfano mzuri kwa wale anaowaongoza. Sina sababu ya kufuatilia mambo anayofanya bali ni katika kanuni za kuwa kiongozi wa jamii/chama chochote.

BTW I wouldn't care less about his injuries if he was there to reflect the matters/issues pertaining to his people/leadership skills etc. As he has shown no regard to those he is leading then why at all will I or anybody else cared whether his leg was broken or not. If Mr Mbowe continues to disregard or does not want to be an example, why then should he be a leader? If he wants to continue to be an alcoholic thug he should rethink is position.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…