Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kuumia kwa huo utoto ulioandika,hiyo CCM mnayoringia tunaijua nje ndani na mifumo yake sasa mnapokuja na huo utoto tunaishia kuwacheka kwa dharau.Umeumia sana bro, kama umefunga tuliza munkari usiue swaumu
Umebugi na kipeperushi chako mwenyewe ulidhani umeleta master piece kumbe ni takataka.Chadema mna hazima ya mazezeta na ndio mtaji wa kamanda wa Angq
Uchafu.CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema.
Historia inatuambia, waanzilishi wote wa Chadema walikuwa Benki kuu. Yaani Mtei, Bob Makani na Mbowe na walitolewa kwa sababu maalum kutengeneza chama cha upinzani ili Tanzania itambulike na dunia kama imeruhusu mfumo wa vyama vingi na demokrasia.
Tangu Chadema iasisiwe, hatujashuhudia kiongozi tofauti ya hao watatu waliotoka BOT kwa shughuli maalim kuulaghai umma wa kimataifa juu ya uwepo wa vyama vingi na demokrasia Tanzania.
Baada ya Chadema kuasisiwa, wakaja wanachama wengi ambao hawakuwa sehemu ya mpango huo (Kuilaghai dunia) hawa wakaja kwa nia ya dhati kabisa ya kuiondo Ccm na hapo ndio Mbowe akawa mkali kama pilipili.
Tunaanza na Kaburu, huyu bwana alikuwa mwiba kweli kwa serikali ya Ccm. Mbowe ili kulinda maslahi yake mwaka 2005 alishilikiana na Ccm Bega kwa Bega kuhakikisha Kaburu anashindwa na Serukamba. Kwanza Mbowe hakumpigia kampeni Kaburu, Kaburu hakupewa sapoti na Chama kabisa mpaka alipoangushwa. Na kama zawadi Mbowe akapewa jimbo la Kigoma Kaskazini Zitto kabwe.
Baada ya Kaburu kikaja kizazi cha pili, kizazi cha vijana waliokuwa na uchu wa mabadiliko kweli kweli. Hapa nawazungumzia kina Zitto, kafulila na Machali. Hawa wote walisambalatishwa kama upepo. Ccm ikapumua tena.
2010 mpaka 2015 hakuna mwanamageuzi aliyeonyesha njia kama Dr Slaa, Ccm ilikuwa inaondoka. Mbowe akakumbushwa wajibu wake wa kuilinda Ccm. Akaletewa criminal Lowasa na kumpoteza Dr Slaa ambae angeweza kutunishana misuli na Magufuli. Tukapoteza tena kizembe.
Kumpongeza Mbowe kwa kuiongoza Chadema miaka 20 pasipo kuitoa Ccm ni ujinga, kuimba nyimbo za Mbowe kuwaita wanaompinga wanafiki ni ujinga. Tunatakiwa kumuhoji Mbowe kwanini ndani ya miaka 20 ya uongozi wako hatujaona matokeo zaidi ya kubadilisha bendera na kauli mbiu?
Wanasiasa aina ya Mbowe wapo wengi duniani, upinzani ni sehemu yao ya agizo la kuvilinda vyama tawala na kuhakikisha upinzani wa kweli haupatikani.
Baada ya kuonekana Mama Samia hana Ushawishi Mbowe kaamua kumfanyia kampeni kwa dirisha la upinzani. Kuandamana bila bugudha mama aonekane ni mwana demokrasia, kumsifia majukwaani na kukiri kusaidiwa nae.
Mbowe anatengenezea sana sympathy na Ccm ili aendelee kuaminiwa kama kinara wa upinzani ila kiuhalisia hizo ni niia tuu za ku block upinzani wa kweli kuaminiwa. Wanaoelewa siasa watanielewa.
View attachment 2946424
Kwa leo naweka kalamu chini.
Utoto unakusumbuaIla imefanya ushindwe kumalizia game ya mkeo. What a takataka
Hiyo ndiyo strategy yenyewe dogo ili wew uamini kuwa ni kweli kumbe hamna kituKama vyama vya upinzani kikiwemo CDM vmetengenezwa kimkakati na CCM kwa ajili ya maslahi yake. Je! Hiyo si ndiyo salama kwake! Sasa kwa nini nguvu kubwa inatumika kupitia mbeleko la vyombo vya dola kukihujumu na kutaka hata kukiua.
Tatizo lako, unaandika tena kwa kuungaunga kile ambacho kimetokea katika misha binafsi na historia ya mfanano wa sehemu walizowahi kuajiriwa viongozi hao watatu. Umekwepa kwa makusidi kuizungumzia historia ya CDM kama taasisi makini ya kisiasa.
Na hili ndilo tatizo lenu kubwa UVCCM, badala ya ku "focus" katika uhalisia wa mambo, mnatafuta stori za vijiweni na kuanza kujiaminisha kuwa ni za kweli, na kisha kujipongeza kwa siifa za uongo, na kuendekeza maisha ya uchawa!
Sengondo, mwangosi,kubenea kibanda, ulimboka mwakingweHivi unataka kujisahaulisha kuhusu nini ambacho kilitokea kwa makada na viongozi mbalimbali wa CDM ikiwamo hata Mbowe mwenyewe katika utawala wa JPM miaka michache iliyopita!? Watu kuteswa, kutekwa, kujeruhiwa, kuuwawa, kubambikiwa kesi za uongo, mali zao kuhujumiwa, n.k.
Mbowe ndiyo mtu WA moveIna maana Lissu pia ni muigizaji? Au hawakumfahamisha mchezo mzima? Mbowe ile kukaa ndani siku 200 ilikuwa ni movie? Slaa kukimbilia ughaibuni pia ilikuwa ni movie? Escro, Richmond, Epa kashfa zote hizo za kifisadi zilizoibuliwa na vyama pinzani ilikuwa ni movie? Mh sitaki kuamini..
Hata hivyo hakuna ushuhuda wa kutosha usio tia shaka.
Hizi ni nadharia tu.
Tumia akili dogo Mbowe ni mtu wetu we hukuona alivyowasambaratisha Akina Slaa,mwabukusi na mdudeMbowe atawafanya mharishe damu mwaka huu. Na bado tunae tena kwa miaka mingine mingi mbele! Ccm hamumtaki mbowe mnamtaka nani?
Mbowe hatuwezi kumtoa pale ni kijani mwenzetuHuna lolote wewe kapuku , endelea kutumikishwa upate kujikimu
Sisi wa kijani tunataka Mbowe awe mwenyekiti wa hicho chama miaka 30Kumchafua Mbowe na Lissu haitawezekana kwasababu wamekulia kwenye macho ya Watanzania. Lissu na Mbowe wanafahamika kuliko Samia na Mpango.
Sasa huyo nyumbu ataelewa basiNi CCM ambayo ni taasisi watu wanabadilika kila siku
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Duuu hii kali kumbe CCM ni chooni na nyie wote ni mavi tu,asante kwa ufunuo huu.Uzuri mmezoea uchafu. 2015 mlikitoa kinyesi chooni mkakileta chumbani
Anzisha chama cha kwakoCCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema.