Mbowe kijana wa CCM kwa kivuli cha upinzani

Umeumia sana bro, kama umefunga tuliza munkari usiue swaumu
Siwezi kuumia kwa huo utoto ulioandika,hiyo CCM mnayoringia tunaijua nje ndani na mifumo yake sasa mnapokuja na huo utoto tunaishia kuwacheka kwa dharau.
 
Uchafu.
 
Hiyo ndiyo strategy yenyewe dogo ili wew uamini kuwa ni kweli kumbe hamna kitu

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Sengondo, mwangosi,kubenea kibanda, ulimboka mwakingwe

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Mbowe ndiyo mtu WA move

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Anzisha chama cha kwako
 
Kwa miaka mingi kumekuwa na tuhuma nyingi za kubumba zikimlenga mh Mbowe zikilenga kuuaminisha umma kwamba eti mamluki .Ajabu tuhuma hizo mara nyingi hutolewa na vijana wa fisiemu.Kama ndio hivyo kwa nini wasifurahie hiyo hali ili chama chao kiendelee kutawala kelele za nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…