Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni baadhi ya great thinkers wachsche tyliobaki nao hapa JF. Huyu kapanikishwa na uzi wa kinana kijiuxulu ndio maana maelezo yake yanakosa internal consistency!Maelezo yako yana mapungufu! Upande mmoja Mbowe amechoka kunyooshewa vidole kutokana na kumleta Lowassa! Katika hali ya kawaida, kama tatizo ni Lowassa basi tusingetarajia Lowassa huyo huyo awe na influence ndani ya chama kwavile hatakiwi!
Kwa upande mwingine, unadai center of power ipo kwa EL kiasi kwamba Wabunge, Madiwani na Mameya utii wao ni kwa EL. Hao watu ni muhimu sana kwa chama!! Suala la utii wao kuwa kwa EL inaonekana wanamkubali EL!!
Sasa Mbowe ana sababu gani ya kutaka kususa kutokana na kauli za watu wa nje kuhusu kumleta EL ikiwa watu wa ndani wenyewe hawana tatizo na EL hadi kufikia kumtii?
Vijana wengi wa ccm ni wajinga sanaYaani umeona thread ya kinana kujiuzulu november nawe umeamua kuanzisha ya mwingine tena?kweli mmechanganyikiwa.
Mtasubiri sana had yesu mwokozi arudi mxieeewBoresha Tittle yako andika "Chadema Kufa mwezi Novemba" maana akijiuzuru huyo tu hakuna Chadema tena
Katibu mkuu CCM Kinana anatarajia kujiuzulu Novemba 2016Taarifa za kuaminika kutoka katika vyanzo nyeti katika chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe Freeman Aikael Mbowe yuko mbioni kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho kutokana na kile kinachodaiwa kuchoshwa kunyooshewa vidole na kutuhumiwa kukiuza Chama hicho kwa Lowassa.
Tangu Ndugu Lowassa alipoamua kujiunga na Chama hicho mwishoni mwa mwezi October mwaka 2015, tuhuma za moja kwa moja zilielekezwa kwa Mhe Mbowe kutoka kwa washirika wake wa karibu akiwemo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Dr Wilbroad Slaa kuwa amepokea hongo ya takribani bilioni 20 ili kumpoitishia mgombea huyo aiyekatwa CCM kwa tuhuma za ufisadi.
Mwenyekiti Mbowe, amefikia hatua hiyo baada ya katibu Mkuu wa sasa na viongozi wote walioteuliwa na kuchaguliwa ndani ya chama hicho kuelekeza utii wao kwa Lowassa na kuacha kumtii Mhe Mbowe, imethibitika ndani ya chama hicho kuwa center of power imehama kutoka kwa Mwenyekiti na kuhamia kwa Mhe Lowassa ambapo Wabunge, Madiwani na Mameya wote wanasikiliza kauli na maelekezo ya Mhe Lowassa.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ingekuwa mimi ndio wewe au hata wengine, nisingetuma thread ambayo sina uhakika nayo!
Yaani umeona thread ya kinana kujiuzulu november nawe umeamua kuanzisha ya mwingine tena?kweli mmechanganyikiwa.
Sheria ya mitandao walitungiwa wapinzani wanaoikosoa serikali mkuu, huyu hawezi kukamatwa hata iweje, akitoka humu anaenda kukinga mkono na kupokea buku 7,niamini mimi.Una mil 7 tutakutoa sadaka ujue we unazani upo safe