Tetesi: Mbowe kujiuzulu mwezi Novemba

Tetesi: Mbowe kujiuzulu mwezi Novemba

Status
Not open for further replies.
WanaJamvi,

Habari iliyoandikwa na MwanaHalisi leo "JPM na Kinana Hapatoshi' ndio iliyopelekea watu wa hapo Lumumba kujaribu kuipoteza kwa kuzusha habari hii ya uongo

Ni mbinu ya kitoto sana.İmeandikwa Kinana anapanga kujiuzulu
kwi kwii kwiiii kwiii
 
Looking for scapegoat . mwanahalisi kagusa mahala Fulani !!!
 
Sasa suala la Uenyekiti wa Maisha linakujaje? Alichaguliwa Tarehe 14 Septemba,2014

Katiba inasema atakua Mwenyekiti kwa kipindi cha Miaka 5.

Sasa leo mtu anazusha kuwa atajiuzulu Novemba.Taarifa inakanushwa kisha mtu anasema kwa hiyo atakua mwenyekiti wa Maisha?

Hivi ni kutokuelewa au ni kujitoa ufahamu?
Na hakuna mtu mwingine yeyote anayeruhusiwa kugombea nafasi ya uenyekiti isipokua yeye pekee!
 
Taarifa za kuaminika kutoka katika vyanzo nyeti katika chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe Freeman Aikael Mbowe yuko mbioni kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho kutokana na kile kinachodaiwa kuchoshwa kunyooshewa vidole na kutuhumiwa kukiuza Chama hicho kwa Lowassa.

Tangu Ndugu Lowassa alipoamua kujiunga na Chama hicho mwishoni mwa mwezi October mwaka 2015, tuhuma za moja kwa moja zilielekezwa kwa Mhe Mbowe kutoka kwa washirika wake wa karibu akiwemo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Dr Wilbroad Slaa kuwa amepokea hongo ya takribani bilioni 20 ili kumpoitishia mgombea huyo aiyekatwa CCM kwa tuhuma za ufisadi.

Mwenyekiti Mbowe, amefikia hatua hiyo baada ya katibu Mkuu wa sasa na viongozi wote walioteuliwa na kuchaguliwa ndani ya chama hicho kuelekeza utii wao kwa Lowassa na kuacha kumtii Mhe Mbowe, imethibitika ndani ya chama hicho kuwa center of power imehama kutoka kwa Mwenyekiti na kuhamia kwa Mhe Lowassa ambapo Wabunge, Madiwani na Mameya wote wanasikiliza kauli na maelekezo ya Mhe Lowassa.
Humjui Mbowe wewe......!
 
Kwa hiyo mmekubaliana na Wakudadavua jinsi ya kutoka?
Mbona mnashida sana?
 
Sasa suala la Uenyekiti wa Maisha linakujaje? Alichaguliwa Tarehe 14 Septemba,2014

Katiba inasema atakua Mwenyekiti kwa kipindi cha Miaka 5.

Sasa leo mtu anazusha kuwa atajiuzulu Novemba.Taarifa inakanushwa kisha mtu anasema kwa hiyo atakua mwenyekiti wa Maisha?

Hivi ni kutokuelewa au ni kujitoa ufahamu?
Kijana kwani hofu inatoka wapi kama Mbowe akijiuzulu?...hapa ndipo inapokuja hoja...Lowassa na Mbowe ni chadema,Chadema ni Lowassa na Mbowe!
 
Taarifa za kuaminika kutoka katika vyanzo nyeti katika chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe Freeman Aikael Mbowe yuko mbioni kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho kutokana na kile kinachodaiwa kuchoshwa kunyooshewa vidole na kutuhumiwa kukiuza Chama hicho kwa Lowassa.

Tangu Ndugu Lowassa alipoamua kujiunga na Chama hicho mwishoni mwa mwezi October mwaka 2015, tuhuma za moja kwa moja zilielekezwa kwa Mhe Mbowe kutoka kwa washirika wake wa karibu akiwemo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Dr Wilbroad Slaa kuwa amepokea hongo ya takribani bilioni 20 ili kumpoitishia mgombea huyo aiyekatwa CCM kwa tuhuma za ufisadi.

Mwenyekiti Mbowe, amefikia hatua hiyo baada ya katibu Mkuu wa sasa na viongozi wote walioteuliwa na kuchaguliwa ndani ya chama hicho kuelekeza utii wao kwa Lowassa na kuacha kumtii Mhe Mbowe, imethibitika ndani ya chama hicho kuwa center of power imehama kutoka kwa Mwenyekiti na kuhamia kwa Mhe Lowassa ambapo Wabunge, Madiwani na Mameya wote wanasikiliza kauli na maelekezo ya Mhe Lowassa.
Naona mmeamua kujibu mapigo baada ya ule uzi wa Kinana kujiuzulu kushika kasi kama moto wa msituni - kweli buku saba taabu sana maana kuzipata lazima utoe habari - kwa vyovyote vile!
 
Ikitokea nakata gogo toka Mara mpaka Dar, kwa huyu mpenda madaraka haiwezi tokea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom