Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vip swala la ajira limefikia wapi kwa kinana?si mlienda kumuomba juzi juziMbona kuna uzushi humu mwingi tu unasambaza dhidi ya CCM? Huuoni?
Naona mzee bado anaendeleza tabia ya kutengeneza makundi kila anakokwenda! Bundi ameondoka CUF, sasa anaelekea CHADEMA!Wakati fulani nilipopata habari hizi, nilijua ni muendelezo wa siasa zetu zisizo na afya njema.
Ila nilipata kusikia pia kuwa hivi sasa Meya wa Kinondoni, rafiki yangu Jacob pamoja na mameya wengine wa Jiji mama la Dar es salaam wamekuwa watu wa karibu na familia ya Mhe Lowassa.
Nyumbani kwa Mhe Lowassa ni ofisi ya pili ya Meya huyo wa Kinondoni, mwanzoni sikuwa naamini sana maana maneno maneno ni mengi, ila thread hii inanipa picha nyingine ambayo inakaribia kuondoa ule walakini niliyokuwa nayo hapo kabla.
Lisamwalo lipo, tusubiri hiyo Novemba.
Mkuu wewe ni msemaji wa CHADEMA siku hizi??? Hii habari yako naona imekaa kiudaku udaku wa JF vile. Nilidhani statements kama hizi huwekwa rasmi katika heded paper za chama.Kuna Taarifa zinazoenea kwenye Mitandao ya Kijamii zisemazo Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Anatarajia kujiuzulu Mwezi wa Novembe na kuainisha sababu Lukuki zisizo na ukweli wowote. Nipropaganda za watu wasiokitakia chama mema
Habari hizo nizakuzipuza hazina ukweli wowote ni upotoshaji wakiwango kikubwa.
Nimatumaini yetu mamlaka husika mtachukuwa hatua stahiki kwa mtu aliyeanzisha habari hizo za kupotosha
Chadema
Kwa hiyo ulipoona kwa mwanahalisi kuwa Katibu Mkuu wa Lumumba anataka kumwaga manyanga ndipo ukaja maneno ya kusadikika ili upoteze watu na kuwatoa kwenye hoja ya kuchafuka kwa hali ya hewa Lumumba?Taarifa za kuaminika kutoka katika vyanzo nyeti katika chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe Freeman Aikael Mbowe yuko mbioni kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho kutokana na kile kinachodaiwa kuchoshwa kunyooshewa vidole na kutuhumiwa kukiuza Chama hicho kwa Lowassa.
Tangu Ndugu Lowassa alipoamua kujiunga na Chama hicho mwishoni mwa mwezi October mwaka 2015, tuhuma za moja kwa moja zilielekezwa kwa Mhe Mbowe kutoka kwa washirika wake wa karibu akiwemo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Dr Wilbroad Slaa kuwa amepokea hongo ya takribani bilioni 20 ili kumpoitishia mgombea huyo aiyekatwa CCM kwa tuhuma za ufisadi.
Mwenyekiti Mbowe, amefikia hatua hiyo baada ya katibu Mkuu wa sasa na viongozi wote walioteuliwa na kuchaguliwa ndani ya chama hicho kuelekeza utii wao kwa Lowassa na kuacha kumtii Mhe Mbowe, imethibitika ndani ya chama hicho kuwa center of power imehama kutoka kwa Mwenyekiti na kuhamia kwa Mhe Lowassa ambapo Wabunge, Madiwani na Mameya wote wanasikiliza kauli na maelekezo ya Mhe Lowassa.
Wamechanganykiwa kweli.Yaani umeona thread ya kinana kujiuzulu november nawe umeamua kuanzisha ya mwingine tena?kweli mmechanganyikiwa.
Itakuwa vema sana maana atakuwa anatimiza ahadi ya kujiuzulu Siasa UKAWA ikishindwa Uchaguzi! Nitamsifu kwa Mara ya kwanza akifanya hivyo!!Taarifa za kuaminika kutoka katika vyanzo nyeti katika chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe Freeman Aikael Mbowe yuko mbioni kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho kutokana na kile kinachodaiwa kuchoshwa kunyooshewa vidole na kutuhumiwa kukiuza Chama hicho kwa Lowassa.
Tangu Ndugu Lowassa alipoamua kujiunga na Chama hicho mwishoni mwa mwezi October mwaka 2015, tuhuma za moja kwa moja zilielekezwa kwa Mhe Mbowe kutoka kwa washirika wake wa karibu akiwemo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Dr Wilbroad Slaa kuwa amepokea hongo ya takribani bilioni 20 ili kumpoitishia mgombea huyo aiyekatwa CCM kwa tuhuma za ufisadi.
Mwenyekiti Mbowe, amefikia hatua hiyo baada ya katibu Mkuu wa sasa na viongozi wote walioteuliwa na kuchaguliwa ndani ya chama hicho kuelekeza utii wao kwa Lowassa na kuacha kumtii Mhe Mbowe, imethibitika ndani ya chama hicho kuwa center of power imehama kutoka kwa Mwenyekiti na kuhamia kwa Mhe Lowassa ambapo Wabunge, Madiwani na Mameya wote wanasikiliza kauli na maelekezo ya Mhe Lowassa.
jk alijiuzuru kitu gan mkuu?Cha ajabu nini?Mbona JK alijiuzulu akampisha JPM
Kwani UKAWA imeshinda Uchaguzi?? Si alisema atajiuzulu hilo lisipotokea?Sasa suala la Uenyekiti wa Maisha linakujaje? Alichaguliwa Tarehe 14 Septemba,2014
Katiba inasema atakua Mwenyekiti kwa kipindi cha Miaka 5.
Sasa leo mtu anazusha kuwa atajiuzulu Novemba.Taarifa inakanushwa kisha mtu anasema kwa hiyo atakua mwenyekiti wa Maisha?
Hivi ni kutokuelewa au ni kujitoa ufahamu?
Sisi hatuitaj sifa zako kwa kiongozi wetu. Afu sio kila ukionacho mtandaoni kina TBS zingine ni figisufigisu tu viva UKAWAItakuwa vema sana maana atakuwa anatimiza ahadi ya kujiuzulu Siasa UKAWA ikishindwa Uchaguzi! Nitamsifu kwa Mara ya kwanza akifanya hivyo!!
UKAWA IPI? Ile ya kwanza ilishafariki kitambo mbona! Hujui hilo? Watakucheka watu!!Sisi hatuitaj sifa zako kwa kiongozi wetu. Afu sio kila ukionacho mtandaoni kina TBS zingine ni figisufigisu tu viva UKAWA