Tetesi: Mbowe kujiuzulu mwezi Novemba

Status
Not open for further replies.
Hahaha, Lumumba sio wabunifu ksbisa! Baada ya kuona thread kuhusu Kinana kujiuzulu nawe ukaamua kjs na counter yhread ya Mbowe kujiuzulu! Ubunifu finyu sana huu!
 
Wewe ni baadhi ya great thinkers wachsche tyliobaki nao hapa JF. Huyu kapanikishwa na uzi wa kinana kijiuxulu ndio maana maelezo yake yanakosa internal consistency!
 
hahaha CCM wamepanic baada ya kuona habari za Kinana kujiuzulu zimevuja.
 
Katibu mkuu CCM Kinana anatarajia kujiuzulu Novemba 2016
 
succos yake mbowe hiyo wataondoka wao ila yeye atadunda mwanzo mwisho.
 
Natembea .............................................................. toka Tandika mpaka Bilicanas
 
Watu wanafungua account mpya ili wapate ruzuku halafu utegemee Mbowe (msaka noti) ajiudhulu, dhubutu yako, mtamnyooshea vidole hadi mtavishusha na mtampigia kelele hadi makoo yakauke, hajiudhulu mtu hapa.
 
Una mil 7 tutakutoa sadaka ujue we unazani upo safe
Sheria ya mitandao walitungiwa wapinzani wanaoikosoa serikali mkuu, huyu hawezi kukamatwa hata iweje, akitoka humu anaenda kukinga mkono na kupokea buku 7,niamini mimi.
 
CCM wanaombea kila siku Mbowe asiwe Mwenyekiti CHADEMA ili wajitengenezee Lipumba wao mwingine ndani ya CHADEMA. Nafasi hiyo haipo na haitapatikana. Mbowe ataendela kuwa mwenyekiti alimradi wana-Chadema wanaridhia.

Chama chohote cha upinzani wa kweli lazima kiwe makini sana katika kuwapata viongozi maana huko ndiko wanakoingilia na kuuua upinzani.
 
"Wanadarisalama, hakyamungu mwaka huu tusipoing'oa CCM na kuingia Ikulu nitajiuzulu siasa,"- Freeman Mbowe Okt 2015.
 
Aliekutuma mwambie hatupo....

Taarifa imekosa mashiko
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…