Tetesi: Mbowe kujiuzulu mwezi Novemba

Status
Not open for further replies.
"Wana Daresalama hakyamungu Ukawa tusipoingia Ikulu mwaka huu 2015 mimi Freeman Aikaeli Mbowe nitajiuzulu siasa."- Mbowe.

Sasa tunashangaa nini akijiuzulu kutekeleza ahadi yake kwa vitendo? Tuache unaaa bhana!
 
wanawake wanajua sana mambo ambayo wanaume zao wanaplan kuyafanya ilatatizo lao hawana siri
 
Naona mzee bado anaendeleza tabia ya kutengeneza makundi kila anakokwenda! Bundi ameondoka CUF, sasa anaelekea CHADEMA!
 
Mkuu wewe ni msemaji wa CHADEMA siku hizi??? Hii habari yako naona imekaa kiudaku udaku wa JF vile. Nilidhani statements kama hizi huwekwa rasmi katika heded paper za chama.
 
Kwa hiyo ulipoona kwa mwanahalisi kuwa Katibu Mkuu wa Lumumba anataka kumwaga manyanga ndipo ukaja maneno ya kusadikika ili upoteze watu na kuwatoa kwenye hoja ya kuchafuka kwa hali ya hewa Lumumba?
 
Propaganda kwenye siasa haziishi nchi hii.
 
Alafu ruzuku ata achiwa nani awe anaziwasilisha kwa mwenyewe, Mmmmmm. Tei
 
Kwa hiyo Mbowe ni Mwenyekiti wa maisha hapo Chadema?

Mnalilia Demokrasia huku nyie ni wabakaji wa Demokrasia.!
 
Kha! kwa hiyo jamaa hang'atuki wala kujiuzulu mpaka nchi ibomoke sasa mbona shida hapo

kwa mana hiyo cheo chake ndo atakifa nacho toka 2003 loh kweli kazi ipo
 
Itakuwa vema sana maana atakuwa anatimiza ahadi ya kujiuzulu Siasa UKAWA ikishindwa Uchaguzi! Nitamsifu kwa Mara ya kwanza akifanya hivyo!!
 
Sasa suala la Uenyekiti wa Maisha linakujaje? Alichaguliwa Tarehe 14 Septemba,2014

Katiba inasema atakua Mwenyekiti kwa kipindi cha Miaka 5.

Sasa leo mtu anazusha kuwa atajiuzulu Novemba.Taarifa inakanushwa kisha mtu anasema kwa hiyo atakua mwenyekiti wa Maisha?

Hivi ni kutokuelewa au ni kujitoa ufahamu?
 
Kwani UKAWA imeshinda Uchaguzi?? Si alisema atajiuzulu hilo lisipotokea?
 
Itakuwa vema sana maana atakuwa anatimiza ahadi ya kujiuzulu Siasa UKAWA ikishindwa Uchaguzi! Nitamsifu kwa Mara ya kwanza akifanya hivyo!!
Sisi hatuitaj sifa zako kwa kiongozi wetu. Afu sio kila ukionacho mtandaoni kina TBS zingine ni figisufigisu tu viva UKAWA
 
Sisi hatuitaj sifa zako kwa kiongozi wetu. Afu sio kila ukionacho mtandaoni kina TBS zingine ni figisufigisu tu viva UKAWA
UKAWA IPI? Ile ya kwanza ilishafariki kitambo mbona! Hujui hilo? Watakucheka watu!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…