Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
kwi kwii kwiiii kwiiiWanaJamvi,
Habari iliyoandikwa na MwanaHalisi leo "JPM na Kinana Hapatoshi' ndio iliyopelekea watu wa hapo Lumumba kujaribu kuipoteza kwa kuzusha habari hii ya uongo
Ni mbinu ya kitoto sana.İmeandikwa Kinana anapanga kujiuzulu
Amejiandaa na kilimo cha greenhouse huko HaiDah..Halafu afanye nini na ile Club imefungwa?😎
Na hakuna mtu mwingine yeyote anayeruhusiwa kugombea nafasi ya uenyekiti isipokua yeye pekee!Sasa suala la Uenyekiti wa Maisha linakujaje? Alichaguliwa Tarehe 14 Septemba,2014
Katiba inasema atakua Mwenyekiti kwa kipindi cha Miaka 5.
Sasa leo mtu anazusha kuwa atajiuzulu Novemba.Taarifa inakanushwa kisha mtu anasema kwa hiyo atakua mwenyekiti wa Maisha?
Hivi ni kutokuelewa au ni kujitoa ufahamu?
Zanzibar imekufanya nini bosi hebu iache, wananchi wake wameona TV Ya range tokea 1964 nyie wabongo mmeona TV mwaka 90Jua litatokea magharibi siku hiyo na kuzamia iliko zanzibar.
Humjui Mbowe wewe......!Taarifa za kuaminika kutoka katika vyanzo nyeti katika chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe Freeman Aikael Mbowe yuko mbioni kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho kutokana na kile kinachodaiwa kuchoshwa kunyooshewa vidole na kutuhumiwa kukiuza Chama hicho kwa Lowassa.
Tangu Ndugu Lowassa alipoamua kujiunga na Chama hicho mwishoni mwa mwezi October mwaka 2015, tuhuma za moja kwa moja zilielekezwa kwa Mhe Mbowe kutoka kwa washirika wake wa karibu akiwemo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Dr Wilbroad Slaa kuwa amepokea hongo ya takribani bilioni 20 ili kumpoitishia mgombea huyo aiyekatwa CCM kwa tuhuma za ufisadi.
Mwenyekiti Mbowe, amefikia hatua hiyo baada ya katibu Mkuu wa sasa na viongozi wote walioteuliwa na kuchaguliwa ndani ya chama hicho kuelekeza utii wao kwa Lowassa na kuacha kumtii Mhe Mbowe, imethibitika ndani ya chama hicho kuwa center of power imehama kutoka kwa Mwenyekiti na kuhamia kwa Mhe Lowassa ambapo Wabunge, Madiwani na Mameya wote wanasikiliza kauli na maelekezo ya Mhe Lowassa.
Mkuu huyu ana neutralize ile habari ya kinana na kujiuzulu.Ingekuwa mimi ndio wewe au hata wengine, nisingetuma thread ambayo sina uhakika nayo!
Uenyekitijk alijiuzuru kitu gan mkuu?
alijiuzuru au mda wake ulikua umekwisha?Uenyekiti
Kijana kwani hofu inatoka wapi kama Mbowe akijiuzulu?...hapa ndipo inapokuja hoja...Lowassa na Mbowe ni chadema,Chadema ni Lowassa na Mbowe!Sasa suala la Uenyekiti wa Maisha linakujaje? Alichaguliwa Tarehe 14 Septemba,2014
Katiba inasema atakua Mwenyekiti kwa kipindi cha Miaka 5.
Sasa leo mtu anazusha kuwa atajiuzulu Novemba.Taarifa inakanushwa kisha mtu anasema kwa hiyo atakua mwenyekiti wa Maisha?
Hivi ni kutokuelewa au ni kujitoa ufahamu?
Chadema ni lowassa na mbowe, lowassa na Mbowe ni chadema!Kwa hiyo mmekubaliana na Wakudadavua jinsi ya kutoka?
Mbona mnashida sana?
aisee ckuwah ila ni utaratibu wa chama chao kumkabidhi rais uenyekit pnd tu aingiapo madarakanMuda wa JK ulikuwa unaisha 2017
Kwa lipi umkumbuke? Kwa kuikosesha CDM ushindi mwaka Jana?tutamkumbuka daima
Naona mmeamua kujibu mapigo baada ya ule uzi wa Kinana kujiuzulu kushika kasi kama moto wa msituni - kweli buku saba taabu sana maana kuzipata lazima utoe habari - kwa vyovyote vile!Taarifa za kuaminika kutoka katika vyanzo nyeti katika chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe Freeman Aikael Mbowe yuko mbioni kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho kutokana na kile kinachodaiwa kuchoshwa kunyooshewa vidole na kutuhumiwa kukiuza Chama hicho kwa Lowassa.