Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

Sasa tusubiri rungu ya nchi za ulaya ndio tutatumbuliwa jipu bila ya ganzi tusijifanye wajanja sana bado kabisa ikiwa hatuwezi kujitengenezea hata sindano tutegemee nn
 
Hata hivyo tumechoka na misaada yenye masharti wakae nao tu we can make on our own with 1.3 trillion Month. Kwa pamoja tukatae kushobokea weupe
 
Last edited by a moderator:
...Magufuli huu msaada vipi?kwa nini usitumbue hilo jipu la zanzibar,unasubiri nini? au wale waliokuweka ikulu wamekwambia ujikaushe?
Kama kweli wewe ni Rais wa Tanzania,na kama kweli unataka kupata heshima inayostahili kama Rais na amiri jeshi mkuu,muda ndio huu,usiendelee kusubiri tena,toa tamko kama Rais dunia ijue msimamo wako.Kuendelea kukaa kimya ni uoga tu,na kunadhihirisha wazi wapo waliokuzidi mamlaka ndani ya chama chako,amua sasa,usiwaogope,vinginevyo UTADHARAULIKA.
 

Watu wa aina ya Mbowe ndo hugawa nchi zao kwa wakoloni...
 
Watu wa aina ya Mbowe ndo hugawa nchi zao kwa wakoloni...

Kivipi? Maana bajeti ya nchi hii kwa asilimia 20 hadi 40 inaendeshwa kwa misaada (japo siungi mikono misaada hii). Hivyo kama ni kumilikiwa na wakoloni, tayari tunamilikiwa kwa 40% (sawa na misaada tunayopekea!).

Au magufuli kashapiga marufuku misaada ya kutoka nje?
 
Hata hivyo tumechoka na misaada yenye masharti wakae nao tu we can make on our own with 1.3 trillion Month. Kwa pamoja tukatae kushobokea weupe

Usijisahaurishe mapema hivyo
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA katika ubora wao wa matamko!

Unapokuna na shida ndiyo akili nayo inafanya kazi kupambana na shida hizo.

Misaada ni muhimu lakini isiwe pia ni fimbo ya kutimiza hidden agenda.

Waliobomolewa nyumba zao jana hawakuweza kufa kwa sababu ya kukosa sehemu ya kuishi bali walipanua akili zao na kuweza kupata sehemu ya kuishi.

Hata kama hatutapata misaada, hatuwezi kufa. Tutapanua akili zetu ili tukabiliane na hali ya kuishi bila misaada.
 
Mbowe yupo sahihi, lakini sasa kumbe huu msaada ulikuwa na mashart ? ...ukweli huyu Rais wetu mpendwa JPM ameachiwa
Viporo vigumu sana, tumwombee..
 
Wazungu waende zao,Tanzania ni nchi huru wasitubabaishe na misaada yao.Huwezi kutoa msaada wa masharti, wakitaka watoe wasipotaka basi.
 
Naandika kitabu cha matamko yote yaliyowahi kutolewa na CHADEMA. Mpaka sasa tupo matamko 427. Kitabu kitatoka March 2016.
 
sipendi kitu kinaitwa msaada toka kwa watu weupe hapo mbowe na kama ndo msimamo wa chadema siungi mkono hata kidogo...pesa zao wakae nazo na ss tukae na vyetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…