Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

HATIMAYE TUKIO LINGINE LIMEFIKA LA WATU KUPATA ANGALAU AIRTIME, heko kamanda Mbowe kwa kudandia matukio.
 
Tatizo magufuli sio mwanadiplomasia, hajui afanye nini zanzibar, kakaliwa kooni
 
Usijisahaurishe mapema hivyo

Mtaweza wakati hamna uzalendo? kama mtaweza poa.

Hivi nyie hamjachoka tu na kuwa omba omba ukizingatia utajiri tulionao???? Let's be positive and supportive to our president together we can. Just ask yourself how does mcc relate to internal matters? It's just another form of neo colonialism which we have to fight against. Obama alikuja bongo akacheza mpira pale ubungo na kelele zake za power Africa umeona chochote hadi leo?
 
Mtadharau na kukebei lakn ukweli utabaki palepale bila misaada Tanzania ni ngumu kufia lengo, then leo mnaponda misaada ila wakat Jk anaizunguka dunia kwa safar za kuomba misaada hamkupinga, kweli sikosea nilivyoikataa ccm, coz weng wao uwezo wao wa kifkr ni mdogo mno
 
Hata hivyo tumechoka na misaada yenye masharti wakae nao tu we can make on our own with 1.3 trillion Month. Kwa pamoja tukatae kushobokea weupe

You don't know what you are talking about. How many years will it take before your wishes come true?
 
Last edited by a moderator:
Mi nadhani Mbowe angepaswa kuliongelea suala la ZnZ bila kuhusisha fedha za MCC Kwani km taifa tunapaswa kujenga uchumi wetu nasi kusubiri wadhamin watupatie hii ni aibu kwa upinzani kuzungumzia mkopo km faida kwa taifa bila kuja na mikakati ya nn kifanyike ili taifa lisonge mbele bila kutegemea misaada
Uliambiwa huo ni mkopo?
 
Akili za mbowe ni kama za muuza utumbo anabakia kupepea nzi badala ya kufuta mavi
 
Habari za Mbowe tumeshazichoka umu, hatuna time na fisadi na muuza chama. Mods unganisha hii.
Mbowe na chadema hawana pakushika wamebaki kudandia mambo tuu
 
Kupigania wanyonge kwa kulilia misaada ya wamarekani!!! Hamjielewi Mnataka nini!!


Ukisoma kwa makini tamko la Mbowe utagundua kuwa anamtaka Rais Magufuli afanye kazi ili 'kuwaridhisha' Marekani kwa matarijio ya kupata msaada! Mbowe anasema kama Tanzania haitafanya kile Marekani inatak ifanye basi nchi itakosa msaada wa Tshs takriban trillion moja. Mbowe anasahau kuwa kati hizo trillion moja kiasi kikubwa kinarudi kwa makampuni ya hao hao marekani na kiasi kingine kinaishia kwenye usimamizi (administration) ya hao hao watoa msaada.

Pamoja na kwamba bado Tanzania inahitaji misaada lakini ningemuona Mbowe wa maana kama angetoa njia ya kuundoka na huu utamaduni wa kupitisha kibakuli kwa wanaume wengine. Ndani ya mwezi mmoja TRA imekusanya Sh 1.3 trillion, ni namna gani kama taifa tunaweza kuendelea na kasi ya ukusanyaji mapato? Marekani wana interest zao, hawatoi misaada kwa sababu wanawapenda sana Watanzania.
 
Huu anaoandika MBOWE ni UJINGA.BADO HASIRA ILEILE YA KUSHINDWA UCHAGUZI.
 
You don't know what you are talking about. How many years will it take before your wishes come true?

You aren't serious our neighbours Kenya could have already been there if not becoz of alshabaab. Of course Development is a gradual process but countries like ours need a president of Magu's type to get there...........play your role
 
Hata hivyo tumechoka na misaada yenye masharti wakae nao tu we can make on our own with 1.3 trillion Month. Kwa pamoja tukatae kushobokea weupe



Ni akili yako kweli mkuu?ama kuna mtu kakushikia cm yako?nafahamu unaweza kuwaza vizuri zaidi ya hapa
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu..... ......



Mnapongezana kinafiki ndugu zangu,bt kiukweli bado hatujawa na ushujaa wa kukataa misaada ya wakoloni weupe,itachukua mda,na kabla hatujapata hyo nguvu basi tunapaswa kukubali kidogo tunachopewa na hao
 
ccm nikichwa cha mwenda wazimu.sasa kama na misaada mumeanza kunyimwa na vyanzo vya mapato ya ndani vyenyewe ni majanga.mtaji mungu aliowapa wa raslimali asili ambao ungetumika kwa manufaa ya watanzania ungetutosha wala tusingehitaji msaada wa mtu ndio huo wote mumewapa wageni nyinyi muwe ombaomba sasa munanyimwa sijui mutajiendeshaje.ila pia mungekua na aibu mungegundua kua kumbe hata nje wanauona uovu wenu
 
Back
Top Bottom