Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Ni suala la Muda tu. Mbowe sio gaidi.
Acha povuHuu jamaa Lissu angendelea na kazi ya uanasheria.Ni mwanasiasa mbovu sana asiyepima maneno yanayotoka kwenye mdomo wake.
He is a very good lawyer but a lousy politician.
hivi wewe unaelewa kinacho endelea kweli au unaropoka tu, Mbowe kakutwa na kesi ya kujibu maana yake anatakiwa kuanza kujitetea apunguziwe adhabuNi suala la Muda tu. Mbowe sio gaidi.
Babu achana na CCM wanajitekenya wenyewe afu wanachekaaa!!Ni suala la Muda tu. Mbowe sio gaidi.
Pimbi wewe hajakutwa na hatiahivi ww unaelewa kinacho endelea kweli au unaropoka tu, mbowe kasha kutwa na kesi ya kujibu maana yake anatakiwa kuanza kujitetea apunguziwe adhabu, acha up.mbi
Huyu jamaa Ni ROPO ROPO mnooooo.Kaandika hivi kupitia twitter:
Mwenyekiti Mbowe ana kesi ya kujibu ya ugaidi kwa mujibu wa majaji wa Magufuli na Samia, lakini ni 'Mwamba' na 'Rais' kwa mujibu wa wananchi wa kawaida wa Tanzania!!!
MasahihishoMasahihisho:
Huyo jamaa ni Mwamba na Rais wa wanaCDM.
Wananchi wa kawaida wa Tanzania tusilishwe maneno.
Kwani kuwa na kesi yakujibu ni tayari mtuhumiwa anakuwa ameshatiwa hatiani?.hivi ww unaelewa kinacho endelea kweli au unaropoka tu, mbowe kasha kutwa na kesi ya kujibu maana yake anatakiwa kuanza kujitetea apunguziwe adhabu, acha up.mbi