Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu: Lissu awapiga dongo Samia na Magufuli

Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu: Lissu awapiga dongo Samia na Magufuli

Sa Magufuli kaingiaje?
JamiiForums942810958_640x335.jpg
 
Huu jamaa Lissu angendelea na kazi ya uanasheria.Ni mwanasiasa mbovu sana asiyepima maneno yanayotoka kwenye mdomo wake.
He is a very good lawyer but a lousy politician.
Kwani wanasiasa wakoje?

Hii ndiyo lugha ya wanasiasa; to mock, to amuse & to provoke & to arouse anger na huko kwenu CCM, wenye lugha ngumu za kuudhi na kukera kuliko ya Lissu wako wengi kama siyo wote...

Kwenye tasnia ya sheria hakuna lugha za namna hii. Huko ni legal terms tu. No jokes, no mocks and no provocations...

Nikuonyeshe jinsi huko CCM kuliko na wenye midomo michafu kwa ku - refresh memory yako kidogo back to 2015...

Ni mwaka 2015 eti kwa sababu tu ya "siasa za madaraka" walimtukana na kumdhalilisha wanasiasa mwenzao Edward Lowassa kwa kiwango cha kutisha kuwahi kutokea...

Wanasiasa wana CCM wenye heshima na suti zao wanasimama jukwaani na kumsema huyu mzee kuwa "anajinyea", "anajikojolea" simply tu kwa sababu hakuwa okay kiafya kwa wakati huo..

Honestly, hata kama ni siasa, that was TOO BAD na ilikuwa nje ya utu wa binadamu. Na cha ajaabu wao ndiyo wengi walishakufa na kumwacha mgonjwa akidunda...!!
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Mwenyekiti Mbowe ana kesi ya kujibu ya ugaidi kwa mujibu wa majaji wa Magufuli na Samia, lakini ni 'Mwamba' na 'Rais' kwa mujibu wa wananchi wa kawaida wa Tanzania!!!
Huo ndo ukweli Mr lisu lkn mh mbowe atakuwa huru siku moja na watesi wake zamu yao itafika tu hawawwz kutwala milele malipo hapa hpa duniani
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Mwenyekiti Mbowe ana kesi ya kujibu ya ugaidi kwa mujibu wa majaji wa Magufuli na Samia, lakini ni 'Mwamba' na 'Rais' kwa mujibu wa wananchi wa kawaida wa Tanzania!!!
Lisu awe na adabu, yeye kakimbia nchi. Arudi anyee debe na yeye kama ni mwanaume
 
Shida yenu ni kusifia ujinga mnaweka siasa mbele tu.... Malya na kibatala wakiuliza petro station ya puma iliyopo sam nujoma road ipo upande gani...

Mnashangilia... Kwamba ni majembe ya kuhoji.. akaacha vitu vya msingi anauliza elimu za mashahidi mara tafsiri ya maneno ya kizungu....

Ujinga mtupu.

Leo kwa kutumia mahojiano yake ye mwenyewe na mashahidi... Mwamba anaonekana ana kesi ya kujibu.

Mwambieni kiba apinge...au km kuna uonevu andamaneni.....

La msingi kuweni wanyonge kubali kosa kama kweli lipo... Jishushe kama sio la kuleta taharuki basi utasamehewa.. mbowe ni icon ya taifa.

Ila kelele zenu za keyboard na wale mawakili uchwara wanaosaka attention kwa media...

Mbowe anaweza akala mvua.
Tuswitch chap
 
Acha upimbi.Hajakutwa na hatia bali Kesi ya kujibu.Sasa apunguziwe adhabu ipi

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mpumbavu amechanganya huyo! Anafikiri huku kujitetea wanakotakiwa kina Mbowe, ni kule kujiomboleza ambako mtu akitiwa hatiani hupewa fursa na hakimu! CCM makasuku wanashangilia ujinga kwa sababu ya ufinyu wa akili zao! Hawajui Mbowe, siyo kukutwa na kesi ya kujibu, hata akifungwa au akinyongwa, ni mshindi kwa sababu ya kusimamia anacho kiamini!!
Hakuna njia ccm wanashinda, ushindi pekee kwao labda Mbowe anyanyue mikono juu amwangukie Mazaa!
Mbowe kuwa jela, (na labda yule mstaafu wa usipika Yupo kwenye faili lake mirembe) ni ushindi! Hali ruzuku, hanywi konyagi, hayupo na Joy Mukya, Mbowe asiye na hatia Yupo gerezani, akipigania katiba mpya na demokrasia ya kweli. (Lakini pia yule aliye tabiri kwa mwembwe kuwa Mbowe harudi bungeni, alipatia, ila naye inawezekana baada ya kustaafu uspika kafuata faili lake Mirembe!)
 
Huu jamaa Lissu angendelea na kazi ya uanasheria.Ni mwanasiasa mbovu sana asiyepima maneno yanayotoka kwenye mdomo wake.
He is a very good lawyer but a lousy politician.
Amekuzidi mbali mno.

Miafrika inachukia sana watu wenye mafanikio na wanaowazidi uwezo.
 
Mpumbavu amechanganya huyo! Anafikiri huku kujitetea wanakotakiwa kina Mbowe, ni kule kujiomboleza ambako mtu akitiwa hatiani hupewa fursa na hakimu! CCM makasuku wanashangilia ujinga kwa sababu ya ufinyu wa akili zao! Hawajui Mbowe, siyo kukutwa na kesi ya kujibu, hata akifungwa au akinyongwa, ni mshindi kwa sababu ya kusimamia anacho kiamini!!
Hakuna njia ccm wanashinda, ushindi pekee kwao labda Mbowe anyanyue mikono juu amwangukie Mazaa!
Mbowe kuwa jela, (na labda yule mstaafu wa usipika Yupo kwenye faili lake mirembe) ni ushindi! Hali ruzuku, hanywi konyagi, hayupo na Joy Mukya, Mbowe asiye na hatia Yupo gerezani, akipigania katiba mpya na demokrasia ya kweli. (Lakini pia yule aliye tabiri kwa mwembwe kuwa Mbowe harudi bungeni, alipatia, ila naye inawezekana baada ya kustaafu uspika kafuata faili lake Mirembe!)
Sahihi
 
Back
Top Bottom