love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,595
- 3,089
Kama ambavyo ilielekezwa kuwatoa uamsho.Lissu ameathirika kisaikolijia. Kama Mbowe angeachiwa jana wangesema Mahakama imeelekezwa na Rais Samia kumuachia Mbowe baada ya yeye Lissu kuongea na Mama juzi huko Brussels.
Wangesema kuwa Mahakama haina maamuzi. Sikutegemea kwanza kuwa Lissu anayejinasibu kuwa ni mwanasheria mbobezi aingie mtego wa kumuomba Rais afute kesi na vile vile kukosoa uamuzi wa Mahakama