love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,595
- 3,089
Kama ambavyo ilielekezwa kuwatoa uamsho.Lissu ameathirika kisaikolijia. Kama Mbowe angeachiwa jana wangesema Mahakama imeelekezwa na Rais Samia kumuachia Mbowe baada ya yeye Lissu kuongea na Mama juzi huko Brussels.
Wangesema kuwa Mahakama haina maamuzi. Sikutegemea kwanza kuwa Lissu anayejinasibu kuwa ni mwanasheria mbobezi aingie mtego wa kumuomba Rais afute kesi na vile vile kukosoa uamuzi wa Mahakama
Stupid ndio maana mko jera kwa ujinga wenu.Hiyo ana kesi ya kupanga njama za ugaidi na polisi wamefanya counter attack.ugaidi kwani ulifanyika tarehe ngapi? acha uzuzu,
Si mnatafuta ukweli,komaeni sasa vilio vya nini sasa? 😁😁Kwa akili yako ilivo mbovu unadahani watu wote wako kama wewe Yani unataka watu waache ukweli wajipendekeze kwa Rais ,Acha utumwa wa fikra hakuna asiejua hiyo kesi ni kumkomoa Mbowe.
Dogo wqpi mpuuzi huyo wewe unafanya mazungumzo na rais kisha unakwenda lkuropoka space.Kaandika hivi kupitia twitter:
Mwenyekiti Mbowe ana kesi ya kujibu ya ugaidi kwa mujibu wa majaji wa Magufuli na Samia, lakini ni 'Mwamba' na 'Rais' kwa mujibu wa wananchi wa kawaida wa Tanzania!!!
Hujui kuwa Majaji wawili, huyu na aliyepitabwaliteuliwa na JPM....!! Na wote tunajua wateule wake wakoje.Sa Magufuli kaingiaje?
Sote tunakubali Ni kesi ya kupikwa..Kwa akili yako ilivo mbovu unadahani watu wote wako kama wewe Yani unataka watu waache ukweli wajipendekeze kwa Rais ,Acha utumwa wa fikra hakuna asiejua hiyo kesi ni kumkomoa Mbowe.
MWASISI WA HUU UCHAFUSa Magufuli kaingiaje?
Lissu na Mbowe....majembe ya kuipatika Tanganyika demokrasia ya kweli.Hahahaaaa....... Lisu amekata tamaa!