Uchaguzi 2020 Mbowe kusema No Lissu, No Election ni dharau kwa Vyama vingine vya Siasa

Uchaguzi 2020 Mbowe kusema No Lissu, No Election ni dharau kwa Vyama vingine vya Siasa

Kejuu

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2020
Posts
645
Reaction score
906
Ndugu zangu,

Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa nipa siku hii ya leo.

In a nutshell,
Post ya Mh. Mbowe kwenye twitter ni matusi kwa vyama vingine vya siasa nakuviona ni second class political parties.
  1. Kwani uchaguzi huu ni CCM vs CHADEMA?
  2. Mbowe amekuwa msemaji wa Vyama vingine vya Siasa?
  3. Vitisho hivi kwa NEC au ndiyo jeuri ya mkono wa beberu?
Tanzania ni yetu wote, hapa cha msingi waiache tume ifanye kazi yake, na siyo kwa mashinikizo na isimuogope mtu awaye yote.

Asante,
Nawasilisha,
Kejuu
 
Zile risasi 38 zimeanza kuwatokea puani!! Laana kitu kibaya sana.

Lissu kageuka kisu cha ngariba kwenu!
 
Yuko sahihi, haitakiwi kupotea haki ya chama chochote, hivyo kutakuwa na makundi mawili yaani CCM (chauma,tip nccr, UDP nk) Vs chadema (act,)
 
chadema utoto umewazidi, ni kuwahurumia tu maana hata ajenda yao iko monitored to the extreme hawana madhara. Yamejaa mambumbu kule
 
Nakuhakikishia hata akikatwa Lisu leo ni mods wa Jf ndo watakaopata kazi ya kuunganisha utitiri wa threads humu.
 
chadema utoto umewazidi, ni kuwahurumia tu maana hata ajenda yao iko monitored to the extreme hawana madhara. Yamejaa mambumbu kule
Tatizo linalowasumbua pale ni kukosa think tanks wenye weredi wa siasa
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Lissu ataelewa tu kwanini Chretos Chama ni kiungo wa Simba lakini awezi kuwa kiungo kwenye mboga.
 
Wakikaa kimya maneno wakitamka maneno, mahakama zipo kafungue jarada
 
Ndiyo ukweli wenyewe huo. Tuliyaona hayo kwenye uchaguzi wa serikali za Mitaa!!
 
Wanajitekenya na kucheka wenyewe.
Nchi hii ili iwe salama, haki itendeke. Na Lisu akipitishwa, magufuli asahau muhula wa mitano zaidi. Maana tutamtwanga magufuli mpaka ashangae kwenye sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom