Tatizo linalowasumbua pale ni kukosa think tanks wenye weredi wa siasachadema utoto umewazidi, ni kuwahurumia tu maana hata ajenda yao iko monitored to the extreme hawana madhara. Yamejaa mambumbu kule
kuonywa ni mhimu mkuu, nchi hii ni yetu wote, lazima akemeweMkuu usimpangie Mbowe cha kusema?
Hata kama aikikatwa, amani ya tz itabadi pale pale, hakuna wa kuivurugaPiga ua galagaza lazima Lissu atokee kwenye ballot paper kama mnataka amani iendelee kuwepo!
Sawa mkuumimi sio ndugu yako
Nchi hii ili iwe salama, haki itendeke. Na Lisu akipitishwa, magufuli asahau muhula wa mitano zaidi. Maana tutamtwanga magufuli mpaka ashangae kwenye sanduku la kura.Wanajitekenya na kucheka wenyewe.