Mbowe, Lema, Lissu kwanini hamkemei yanayoendelea nchini?

Hii ndio furaha ya upinzani, kuona serikali ina haribu na kufeli maana kwao ndio points za ushindi hizo.
Ina maana wanapomshangilia mama kwa kila analofanya wanataka aendelee kufanya hivyo ili ashindwe nao wapate cha kumsema?
Umenichanganya kabisa bwashee!
 
Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme.!!
Wame mute wanasubiri uteuzi
Subiri wakishakata tamaa ya uteuzi uone makombora yao
 
Sasa ni kipindi cha wananchi kuwa wapinzani wa serikali badala ya chadema. Ili wananchi waone na waonje utamu wa wizi wa kura pamoja na umuhimu wa katiba mpya.
 
Ila Mama awe mkali.La sivyo kutakua na genge la watu watakaojaribu kufanya kila njia kumkwamisha.Aache upole upole uliopitiliza .Oooohooo!!!
Hiyo tanesco imejaa sukuma gang ifumuliwe.
 
Team Legacy ya mwenda zake..


ila mtoa Post unaugua Posttraumatic stress disorder au Obsessive compulsive disorder...


kuna kitu CHADEMA walikufanyia.. kina kuuma mpaka leo..
kwani wewe mwendazake,ALIKUFANYA aje???
 
Kwanini CCM wasilaani na wakati wapinzani wamechelewesha maendeleo?
 
CHADEMA imekufa, watakemeaje?
 
Saa hizi ndio unaona umuhimu wao? Pambaneni
 
Ila Mama awe mkali.La sivyo kutakua na genge la watu watakaojaribu kufanya kila njia kumkwamisha.Aache upole upole uliopitiliza .Oooohooo!!!
Ukali haupo kweny good leadership, so kua mkali haikufanyi uwe kiongoz bora!! Kuna kanuni na taratibu ambazo hufuatwa ili kuendesha nchi
 
HIVI kwenye hii foleni ya kununua UMEME Tanesco,Watu wananunua HUO UMEME kwa kulipia kwa PESA taslimu Au ! MAANA ISIJE IKAWA JAMAA HAO HAO WA TANESCO WAMECHEZEA HUO MFUMO ILI TUKANUNUE LUKU KWA CASH ILI WAO WAPATE MWANYA WA KUTIA HIZO PESA MIFUKONI MWAO NA KUHAMISHIA KWENYE A/C ZAO BINAFSI."Mh CAG KICHELE,Tunaomba uipate hii point kwa ukaguzi wako,pia na TAKUKURU Ni kwamba Kuna issue ya kufuatilia Hapa.MAANA MANUNUZI YA UMEME KWA FEDHA TASLIM NCHI NZIMA KWA SIKU 3,Ni billions of money.Ni rahisi Sana ma-cashier na ma-boss wa TANESCO Kuiba hizi FEDHA.'control ya PESA hslisi taslimu Ni ngumu saana".
 
Wana majenereta hao. Wacha wazee wa watu wapumzike. Walinyanyaswa sana kwenye nchi yao. Nadhani sasa hivi bado wanatafakari kilichotokea wanabaki kumshangaa Mungu!!!
 
Sisi tulilala na Koroboi na Asubuhi tulikuwa tunapanga foleni ya Sabuni ya kuogea
Tulikuwa tunajaza fomu ili kununua dawa ya Mswaki

Acha kudekadeka
Umesahau daftari la kaya tulilokuwa tunajaziwa na mjumbe wa nyumba kumi. Anakupangia kilo za kununua!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…