Mbowe, Lema, Lissu kwanini hamkemei yanayoendelea nchini?

Mbowe, Lema, Lissu kwanini hamkemei yanayoendelea nchini?

Taifa haliwezi kuendeshwa kwa fukuza fukuza ila linaweza kuendeshwa kwa uwepo wa Taasisi zilizo imara zenye kuwajibika

Kukemea kemea ni Siasa za kijinga na za kizamani
Walivyokuwa wanakemea kemea kwa magufuli ilikuwa ni siasa za kisasa kwa kipindi kile??
 
Uhai wa mti ni mizizi yake na sio majani yake

Kama serikali iliyopo madarakani mizizi yake ni dhaifu tegemea uhai na uimara wa huo mti utakuwa mashakani

Tunaweka tegemeo kwenye mizizi dhaifu na tunajaribu kuficha ukweli

Kwa kweli huu ni unafiki, namna Rais wa awamu ya tano alivyokosolewa kwenye utendaji wake na hivyo hivyo tusiyafumbie macho hizi changamoto tunazokumbana nazo kwenye hii awamu ya sita.
Kabisaaa
 
Nini kinachomfanya Lema aendelee kukaa Ulaya?
Anatafuta hela ili akirudi akuoe kabisa anajisikia kutenda dhambi kukutafuna tu kila siku bila ndoa, na wewe jiandae kwenda kwa mume huenda ukatulia.
 
Taifa haliwezi kuendeshwa kwa fukuza fukuza ila linaweza kuendeshwa kwa uwepo wa Taasisi zilizo imara zenye kuwajibika

Kukemea kemea ni Siasa za kijinga na za kizamani
za kishamba aka za wendawazim
 
Haya mambo tulishayasahau hakika tutaikumbuka awamu ya tano.

Endelea kulala unono JPM.
 
Anatafuta hela ili akirudi akuoe kabisa anajisikia kutenda dhambi kukutafuna tu kila siku bila ndoa, na wewe jiandae kwenda kwa mume huenda ukatulia.
Hana malinda huko ulaya, wazungu hawawezi kukulisha bure
 
Ya
Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?

Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.

Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme.!!
Yaani wewe huwezi kukemea mpaka uwatafute watu wengine?
Kwani wewe sio mtanzania?
 
CCM yatosha, wapinzani wanachelewesha maendeleo - acheni wapumzike !!
 
Vip Leo kumbe ni haki mtu kama uyu kufungwa mbona kila siku mnapiga kelele mdude chadema aachiwe wakat matusi yake huyu haifikiii hata robo

Ulikumbuka kumkumbusha mwendazake kuwa alichokuwa akiwafanyia kina Ben, Azory, Lissu, nk kuwa hakikuwha sawa?

Kumbe mkuki sasa umewageukia binadamu?
 
Ulikumbuka kumkumbusha mwendazake kuwa alichokuwa akiwafanyia kina Ben, Azory, Lissu, nk kuwa hakikuwha sawa?

Kumbe mkuki sasa umewageukia binadamu?
Wala sikubish kumbe kuua watu ni haki ila tu inategemea uyo alie uliwa yupo Upande Gan?
 
Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?

Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.

Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme.!!
Dada tuliza genye,kwani mbowe ndio mtawala....shida ni huyo mumeo kalemani yupo kama taahira flani,anabebwa tu wakti hata uwezo wa kua mtendaji wa kata hawezi
 
Mbona kwenye madini alikemea akasema tutashitakiwa MIGA?
Mbowe amekemea jamaa kujengewa kaburi kwenye banda la kufungiwa kuku
IMG_20210518_160821.jpeg
 
Back
Top Bottom