Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakua jambazi aliyekatwa mkia toka hai district officeTeam Legacy ya mwenda zake..
Ila mtoa Post unaugua Posttraumatic stress disorder au Obsessive compulsive disorder...
Kuna kitu CHADEMA walikufanyia.. kina kuuma mpaka leo..
Udikiteta peleka kwa marehemu huko chatoIla Mama awe mkali.La sivyo kutakua na genge la watu watakaojaribu kufanya kila njia kumkwamisha.Aache upole upole uliopitiliza .Oooohooo!!!
Mwambie paulo makonda na polepole wakemeeKweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?
Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.
Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme!
Wewe jamaa huna hoja za msingi kwenye masuala kama haya, nakushauri ujikite zaidi kwenye lile eneo lako ulilobobea la kukandia dada zetuHii ndio furaha ya upinzani, kuona serikali ina haribu na kufeli maana kwao ndio points za ushindi hizo.
Lazima uwe umeishi kwenye civilized society kuweze kuwa na mawazo kama yakoTaifa haliwezi kuendeshwa kwa fukuza fukuza ila linaweza kuendeshwa kwa uwepo wa Taasisi zilizo imara zenye kuwajibika
Kukemea kemea ni Siasa za kijinga na za kizamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nimekosea wapi lakini mbona nilichoandika ni sahihi kabisa.Wewe jamaa huna hoja za msingi kwenye masuala kama haya, nakushauri ujikite zaidi kwenye lile eneo lako ulilobobea la kukandia dada zetu
kenge alidanja alikuwa hasikii mpaka sikio kikatoka damu😅🥰Mtanyooka tu kenge nyie
Wewe umeishi ngapi hadi sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nimekosea wapi lakini mbona nilichoandika ni sahihi kabisa.
Kwahiyo mkuu wangu unataka kusema nchi yoyote ukienda upinzani wanafurahia pale wanapoona serikali iliyopo madarakani inapatia maamuzi yake na wananchi wanaridhika kabisa.....
Mkuu acha kuninyima haki yangu ya kikatiba ya kutoa maoni huru. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?
Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.
Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme!
Samia mwenyewe ni masalia ya JPM.Kwa wenye akili wanajua kabisa kuwa, hicho unacho kitaka kikemewe kinafanywa makusudi na mfumo ulio ndani ya mfumo ili utawala wa mama uonekane dhaifu, na ili wananchi waseme "mwendazake kaondoka, mambo yanaharibika".
hii yote ya kumjaribu mama ni ili wale chawa na mchwa wanao itafuna nchi kwa mgongo wa uzalendo, wasiondolewe au kupangiwa kazi zingine, kana kwamba kuwaondoa wao ni kuondoa legacy ya mwendazake..
Hao unahitaji wakemee hujuma kwa mama, walikemea mengi ya msingi, ikiwapo kuonya na kushauri wakaitwa wasaliti, sio wazalendo, wakaitwa vibaraka wa mabeberu nk..
Kenya wapo mbele wanaangalia utaifa kwanza kiuchumi, huku tunajadili watu kiunafik ili kulinda matumbo yetu tu.