Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao.
Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na jinsi linavyoumuliwa. CCM hakiwezi kuunza nchi, CCM hakiwezi kuingia ktk Mikataba inayotutia hasara, CCM hakiwezi kuingia Mikataba mibovu.
Kwa hiyo watanzania kwa umoja wetu tuunge Mkono juhudi za Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Tanzania kwanza
2023