peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Tanganyika tumepigwa na kitu kizito.Jibu ni ndiyo. Anaweza akaenda kuolewa Oman, au tayari ana ndoa huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanganyika tumepigwa na kitu kizito.Jibu ni ndiyo. Anaweza akaenda kuolewa Oman, au tayari ana ndoa huko.
Hivi wewe naye akili imo kwel hivyo vitu tajwa Kwako ndiyo unaona ni vitu pekee CCM ilipaswa kuifanyia Tanganyika yako blood!?Hakuna justification kuwa CCM imeshindwa watanzania walitaka lami leo hazijajengwa?
Watanzania walitaka umeme leo bado mnachaji simu nchini Kenya?
# Watanzania mkitaka maji leo bado mnakoswa maji?
# Watanzania mkitaka elimu leo bado mnatembea umbali mrefu kufuata elimu?
# Sasa CCM imeshindwa wapi?
Timu RC hao..Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao.
Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na jinsi linavyoumuliwa. CCM hakiwezi kuunza nchi, CCM hakiwezi kuingia ktk Mikataba inayotutia hasara, CCM hakiwezi kuingia Mikataba mibovu.
Kwa hiyo watanzania kwa umoja wetu tuunge Mkono juhudi za Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Tanzania kwanza
2023
Hivi gesi ni yetu ?kama ni yetu taifa linapata kiasi gani dhidi ya wawekezaji.Madini ni yetu au ya wawekezaji?kama ni yetu tunapata nini dhidi ya wawekezaji.IPTL tulipata nini dhidi ya muwekezaji? Nk.Tusitetee kiitikadi ya vyama bali kiuzalende wote wanaohoji mkataba huu ni wazalendo.Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao.
Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na jinsi linavyoumuliwa. CCM hakiwezi kuunza nchi, CCM hakiwezi kuingia ktk Mikataba inayotutia hasara, CCM hakiwezi kuingia Mikataba mibovu.
Kwa hiyo watanzania kwa umoja wetu tuunge Mkono juhudi za Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Tanzania kwanza
2023
Wewe ni raia wa Tanzania? Naunaishi wapi?Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao.
Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na jinsi linavyoumuliwa. CCM hakiwezi kuunza nchi, CCM hakiwezi kuingia ktk Mikataba inayotutia hasara, CCM hakiwezi kuingia Mikataba mibovu.
Kwa hiyo watanzania kwa umoja wetu tuunge Mkono juhudi za Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Tanzania kwanza
2023
Nani ana mtaka mwenzie kati ya wabara na visiwan!? Au unadhani hao wa visiwani Wanatufaidisha nini sisi Zaid ya kututegemea wabara..!?Timu RC hao..
Mara zote Huwa nasema na imechunguza Kila Rais akiwa Muislamu Huwa wanazusha chokochoko sana Hawa watu,Mimi sio Muislamu Wala sio Mzanzibari ila unafiki wa Wakristo ni mkubwa sana..
Saizi wanahubiri Ubaguzi wa wazi Kwa kujitambulisha Watanganyika ambao wanatawaliwa na Wazanzibar..
Si Bora Watanganyika Wavunje Muungano maana wao ndio Wanawang'ang'ania Wazanzibar.