Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Kwakua CCM imeshindwa kuijenga nchi kwanini isimtafute mwekezaji ainunue CCM.Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao.
Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na jinsi linavyoumuliwa. CCM hakiwezi kuunza nchi, CCM hakiwezi kuingia ktk Mikataba inayotutia hasara, CCM hakiwezi kuingia Mikataba mibovu.
Kwa hiyo watanzania kwa umoja wetu tuunge Mkono juhudi za Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Tanzania kwanza
2023
Hakuna justification kuwa CCM imeshindwa watanzania walitaka lami leo hazijajengwa?Kwakua CCM imeshindwa kuijenga nchi kwanini isimtafute mwekezaji ainunue CCM.
6, 000, 000/- unaifanyia kazi sasaTaifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao.
Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na jinsi linavyoumuliwa. CCM hakiwezi kuunza nchi, CCM hakiwezi kuingia ktk Mikataba inayotutia hasara, CCM hakiwezi kuingia Mikataba mibovu.
Kwa hiyo watanzania kwa umoja wetu tuunge Mkono juhudi za Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Tanzania kwanza
2023
Hoja yako ni kwamba hao uliowataja ndio wenye ufahamu zaidi kuliko Watanzania wasio na vyeo, madaraka au kujulikana kwa jamii? Jishutumu mwenyeweTaifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao.
Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na jinsi linavyoumuliwa. CCM hakiwezi kuunza nchi, CCM hakiwezi kuingia ktk Mikataba inayotutia hasara, CCM hakiwezi kuingia Mikataba mibovu.
Kwa hiyo watanzania kwa umoja wetu tuunge Mkono juhudi za Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Tanzania kwanza
2023
Unaota wewe...CCM hakiwezi kuunza nchi, CCM hakiwezi kuingia ktk Mikataba inayotutia hasara, CCM hakiwez
Mikataba ya Madini aliyokuja kuivunja JPM aliingia nani ?ya Gas ? Makubaliano ya Bandari Bagamoyo alioupinga JPM nayo nani alikubaliana?Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao.
Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na jinsi linavyoumuliwa. CCM hakiwezi kuunza nchi, CCM hakiwezi kuingia ktk Mikataba inayotutia hasara, CCM hakiwezi kuingia Mikataba mibovu.
Kwa hiyo watanzania kwa umoja wetu tuunge Mkono juhudi za Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Tanzania kwanza
2023
Wewe kweli ni Mjinga !!.Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao.
Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na jinsi linavyoumuliwa. CCM hakiwezi kuunza nchi, CCM hakiwezi kuingia ktk Mikataba inayotutia hasara, CCM hakiwezi kuingia Mikataba mibovu.
Kwa hiyo watanzania kwa umoja wetu tuunge Mkono juhudi za Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Tanzania kwanza
2023
swali zuriInawezekana mkataba n mzur kwetu.
Selikali badala ya kuwaandama watu jitahidini kujibu hoja....
Toeni elimu Kwa wananchi ....
Mkataba wenye maslah makubwa Kwa nchi kwnn Bunge limetumia massa tu kuujadili???
We ni msukuma mtetea waarabu!Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao.