Mbowe, Lissu, Dkt Kitima, Jenerali Ulimwengu, Dkt Slaa - ni wapotoshaji kuhusu DP World?

Attachments

  • 662441A9-5561-48E4-8FEC-582A3D8CBFC2.jpeg
    34.1 KB · Views: 2
  • C72C76BD-E173-45FC-98BB-E6E177BD9D3B.jpeg
    76.1 KB · Views: 2
  • 28A59893-7200-4FAD-B57B-7B5D19C448EF.jpeg
    35.1 KB · Views: 2
  • FE61204D-D1CE-4E85-A207-8BC4BFCFF10F.jpeg
    66.1 KB · Views: 2
Hivi wewe naye akili imo kwel hivyo vitu tajwa Kwako ndiyo unaona ni vitu pekee CCM ilipaswa kuifanyia Tanganyika yako blood!?
 
Timu RC hao..

Mara zote Huwa nasema na imechunguza Kila Rais akiwa Muislamu Huwa wanazusha chokochoko sana Hawa watu,Mimi sio Muislamu Wala sio Mzanzibari ila unafiki wa Wakristo ni mkubwa sana..

Saizi wanahubiri Ubaguzi wa wazi Kwa kujitambulisha Watanganyika ambao wanatawaliwa na Wazanzibar..

Si Bora Watanganyika Wavunje Muungano maana wao ndio Wanawang'ang'ania Wazanzibar.
 
Hivi gesi ni yetu ?kama ni yetu taifa linapata kiasi gani dhidi ya wawekezaji.Madini ni yetu au ya wawekezaji?kama ni yetu tunapata nini dhidi ya wawekezaji.IPTL tulipata nini dhidi ya muwekezaji? Nk.Tusitetee kiitikadi ya vyama bali kiuzalende wote wanaohoji mkataba huu ni wazalendo.
 
Wewe ni raia wa Tanzania? Naunaishi wapi?

Je, unaishi humuhumu Tanzania na huelewi haya mambo?

Yaani hujui kuwa tulishapigwa sana kwenye ishu ya mikataba ya kijinga na kipumbavu kama hii huku CCM wenyewe wakikikiri baadae kuwa walifanya makosa?

Hivi Hayati Rais John P. Magufuli alikuwa mwana CHADEMA au ndio CCM halisi wenyewe?

Unamkumbuka alisema nini mara nyingi miaka kati ya 2016 na 2017 na hususani wakati ule akipokea ripoti ya kamai ya kuchunguza mikataba ya madini ya kina Prof. Mruma na Ossoro?

Alisema "nchi hii imeibiwa sana kupitia mikataba mibovu ya madini na maliasili zetu zingine ambazo wapewa wageni Kwa jina la "uwekezaji"" na zaidi sana zikatolewa mpaka takwimu za fedha tulizoibiwa kwa njia ya mikataba hii ya uwekezaji kuwa ni zaidi trillion 390!!

Sasa leo wewe unasema nini hapa? Nakuuliza tena, wewe unaishi Tanzania kweli wewe? Na unataka wakosee mara ngapi ili akili yako iamke??

Safari hii wamekosea njia na kuamua kuweka wazi mkataba huu ili watanzania wajue namna wanavyoiba ili Mungu aone sisi wana wa nchi hii ni wajinga na tutashangilia na kupiga makofi tu au ni werevu kiasi cha kuona shida ilipo na kuchukua hatua stahiki...!!

Rais Samia Suluhu Hassan, Kwa hili katukosea sana Watanganyika na ni LAZIMA tukatae na tuchukue hatua stahiki..!!
 
Nani ana mtaka mwenzie kati ya wabara na visiwan!? Au unadhani hao wa visiwani Wanatufaidisha nini sisi Zaid ya kututegemea wabara..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…