Pre GE2025 Mbowe: Lissu kuhutubia Taifa ni kukosa nidhamu na kufanya kazi isiyo yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ila Mnyika na Heche wakihutubia sio shida. lisu ni makamu mwenyekiti, mnyika ni katibu tu na kesho ameita press. kwahiyo anataka ahodhi kila kitu wenzie wasiongee awe anaongea yeye tu, tutawasikiaje sasa wenzake ili tupime uwezo wake na wa wenzake?
 
Lissu anahutubia Taifa kwa sababu Mbowe ameshindwa kutekeleza wajibu wake!
 
Hiyo hoja ya Mbowe ni dhaifu sana.
Nini maana ya "Kuhutubia taifa"?
Kwa lugha rahisi, ni kuongea huku ukitaka unachokiongea kila mtu katika taifa akiweza akisikie.
Mtu yoyote ana haki ya kulihutubia taifa, wakati wowote, mahali popote.
Sio taifa tu, hata kuhutubia dunia kila mtu ana haķi hiyo.

Lissu ni kiongozi wa juu ndani ya CHADEMA na pia ni mgombea wa uenyekiti ndani ya Chadema, chochote anachokiongea hadharani angependa na angetamani kisikilizwe na watu wote ndani ya Tanzania. Na huko ni kuhutubia taifa, hata asiposema analihutubia taifa. Na viongozi wote wa CHADEMA hufanya hivyo mara nyingi.

Na hiyo sio mara ya kwanza, mara kadhaa Lissu ameandaliwa na uongozi wa Chadema kulihutubia taifa tena wakati mwingine akiwa bado kitandani nje ya nchi.
 
Bora Hashimu Rungwe ana sifa ya kuwa mwenyekiti wa chama Cha siasa kuliko Lisu
 
Lissu alikusudia kuongea na wananchi wake wa IKUNGI.. Vyombo vya habari ndo vikakosea vikarusha matangazo Dunia nzima...kisa eti ni freedom of speech...wamekosea sana wangemwuliza mwenyekiti kwanza kabla ya kufanya coverage ile.
 
Huna hoja chawa wewe
 
Kosa ni kugombea umwenyekiti. Yaan mtu achukue form ya umwenyekiti na agombee afu aache kuhutubia taifa wapiga kura watajuaje ..? Hizi mambo zingine n very local.and primitive. Ayatollay achia ngazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…