Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Hakika.
 
Ili wakatie hasara ikulu kunywa chai za maziwa na katles tu?

Walipoitwa na Kikwete hakukuwa na tija yoyote iliyopatikana. Wao waendelee tu na mambo yao huko mitandaoni. Ikulu watapaskia tu
 
Nimeongea tu najua ni kitu kisichowezekana, yaani mtu eti haoni tofauti Kati ya miaka 60 iliyopota na sasa hivi. Na hiyo miaka ya 60 hata hakuwa ana exist.
Hakuna lolote wana appreciate hawa watu.
Uhuru wa maoni ndani ya nchi yetu upo vizuri. Maoni yao yaheshimiwe wakati nchi inasonga.
 
Unajua what JK used to do ali capitalize kwenye kutembeza vibahasha vya kaki sababu alikuwa na deals nyingi anapiga! Akawasoma kuwa hawa wajinga ni kuwapa mtonyo tu na wakawa wanatulia ila ikiibuka agenda ingine wanaanza kelele! Hivi ndo Wa Msoger ali survive nao...

Hakuna watu walikuwa wanapiga mtonyo kama Zitto, Late Maalim Seif, Lipumba na Mbowe katika zama zile za JK sababu ilikuwa ili wanyamazie ishu wanakamua mtonyo! Sasa wakahisi ule utoto alipoingia Magufuli atau entertain ila haikuwa hivyo utawala ulikuwa chuma kwa chuma! Hakuna kupewa hela ya bure maana kelele zao ni kwa makusudi kabisa ili wapige hela. Jamaa akawachana acheni niendeshe nchi jamani uchaguzi umeisha siasa za kuleta misuguano ziacheni..Wajinga wakaleta kiburi kilichofuata sasa wakapigwa pini hakuna vikao vya kipuuzi na movement za kupinga shughuli za kiserikali! Hapo ndio bifu likapamba moto oh magufuli ni dikteta anaminya uhuru wa kuongea 😂😂😂 kuongea hamna mtu anakukataza ila acha uchochezi! Mambo ya kichochezi hayafai maana kinachotafutwa ni nchi isitawalike iwe vurugu!
 
Yale yale tu, sahizi washaanza kumgeuka wapuuzi wale walioanza kwa mbwembwe...Mama anaupiga mwingi, mama mitano tena, mama tumpe umalikia yani Chadema ni kama watoto wadogo ukimnyima biskuti asioze meno anakuona adui!

Niseme hivi Chadema si hao unaowasema. Mitandaoni humu na fake ID lukuki kwa mtu, Elitwege wamtambua vipi?

Chadema ninaowajua siyo petty. Actually, Jana they expected it worse.

Mama aliyezungukwa kote na wahafidhina, yuko vizuri mno. Hakuna ushahidi kuhusu hilo zaidi ya huu:



Kwani ilidhaniwa Mama ni Chadema?
 
Hebu tuambie,kipindi cha JK nchi ilikaribiaje kuwa a failed state?
Kwa kumbukumbu zangu hali ilikuwa shwari,pesa mifukoni ikawepo na ajira uhakika!
Sijui unazungumzia nchi gani hapa?
 
Nyie watu hivi mna huruma Kama binadamu nyie. Mbona mmejawa na chuki kwa kiwango cha kupitiliza???
 
Afadhali Magu amekufa na kuoza,nchi iliendeshwa kihuni kama kikundi cha Mafia!
 
Kwenye suala la katiba kidogo anahitaji some space maana ni suala la kibajeti pia ila mikutano ina athari gani kiuchumi sasa yani kusema tu au leo hii mikutano ingekuwepo uchumi utazidi shuka???
 
Hebu tuambie,kipindi cha JK nchi ilikaribiaje kuwa a failed state?
Kwa kumbukumbu zangu hali ilikuwa shwari,pesa mifukoni ikawepo na ajira uhakika!
Sijui unazungumzia nchi gani hapa?
Hela ilikuwepo ila sio ya halali bali hela ya wizi au madawa ya kulevya!

Kazi zilikuwepo kwa kujuana sio kila mtu alipata kazi jombaa! Kama huna connection ilikuwa unasota kama kawaida!
 
Mavazi tu
 
Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako,mambo wanayodai wapinzani yapo kwenye Katiba au hakuna?tuanzie hapo,
Haya mambo ya kusema niache nijenge uchumi kwanza,haki za binadamu na kisiasa baadae,ndiyo yaliyotuletea Chato kuwa mkoa,airport ya Chato,wasiojurikana,1.5tilioni kupotea.
 
Hela ilikuwepo ila sio ya halali bali hela ya wizi au madawa ya kulevya!

Kazi zilikuwepo kwa kujuana sio kila mtu alipata kazi jombaa! Kama huna connection ilikuwa unasota kama kawaida!
Acha uongo,pesa ilikuwepo hadi kwa waosha vioo vya magari barabarani!
Ajira kama sekta ya Afya na Elimu ilikuwa uhakika,kulikuwa hakuna kuapply bali watu walisubiri kupangiwa tu vituo vya kazi mara baada ya kuhitimu!
Au ulikuwa mdogo?
 
Wanachokipigania kitakusaidia na wewe, swala la katiba haliwahusu mbowe peke yake hata mm mwanaccm linaniusu, wakati fulani itikadi ni vyema tukaweka pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…