Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Sasa kuna kipindi nitaacha kulaumu Tabia za hayati Magufuli, na CHADEMA waangalie sana maana mama anawapa tabasamu watanzania sasa msije mkazalisha dikteta mpya.
KUNA DIKTETA KWA ASIRI NA DIKTETA WA KUTENGENEZWA. Hata kwenye ndoa kuna tabia za mke zina weza kumfanya mume kuwa mlevi au kuwa na nyumba ndogo
Hakika.
 
Nchi haitakiwi kuendeshwa kwa huruma ya mtu,katiba ndio dawa,anachofanya mama ni kulewa madaraka na udikteta wenyewe huo. Ngoja atafurahishwa tu huko huko chamani kwake.

Inamghalimu nini kuwaita viongozi wa upinzani na kuongea nao?!!!

Inamghalimu nini mikutano ambayo ipo kikatiba ikifanyika?!! Anaogopa nini?!!! Mikutano hiyo inatumia fedha za wagonjwa wa hospital ama za familia yake?!!!
Ili wakatie hasara ikulu kunywa chai za maziwa na katles tu?

Walipoitwa na Kikwete hakukuwa na tija yoyote iliyopatikana. Wao waendelee tu na mambo yao huko mitandaoni. Ikulu watapaskia tu
 
Nimeongea tu najua ni kitu kisichowezekana, yaani mtu eti haoni tofauti Kati ya miaka 60 iliyopota na sasa hivi. Na hiyo miaka ya 60 hata hakuwa ana exist.
Hakuna lolote wana appreciate hawa watu.
Uhuru wa maoni ndani ya nchi yetu upo vizuri. Maoni yao yaheshimiwe wakati nchi inasonga.
 
Maza anadhani kuendesha nchi ni sawa na kucheza taarab. Watu hawajifunzi tu yaani, hivi kuna mtu aliyekuwa soft zaidi ya JK? Yule mzee ni mpole sana (hadi inakera) matokeo yake nchi ikakaribia kuwa a failed state, huku wapinzani wakichekelea na kuutumia udhaifu wake. JPM hakuruhusu udhaifu wa aina yoyote ile, yet wapinzani wakaanza kumchukia kwa kukosa talking points -- na point yao kubwa ikabaki eti uhuru wa kujieleza, bla bla.

Mama si unataka kupendwa? Fanya kila kitu wanachokwambia hao jamaa zako akina Mbowe na Lissu.
Unajua what JK used to do ali capitalize kwenye kutembeza vibahasha vya kaki sababu alikuwa na deals nyingi anapiga! Akawasoma kuwa hawa wajinga ni kuwapa mtonyo tu na wakawa wanatulia ila ikiibuka agenda ingine wanaanza kelele! Hivi ndo Wa Msoger ali survive nao...

Hakuna watu walikuwa wanapiga mtonyo kama Zitto, Late Maalim Seif, Lipumba na Mbowe katika zama zile za JK sababu ilikuwa ili wanyamazie ishu wanakamua mtonyo! Sasa wakahisi ule utoto alipoingia Magufuli atau entertain ila haikuwa hivyo utawala ulikuwa chuma kwa chuma! Hakuna kupewa hela ya bure maana kelele zao ni kwa makusudi kabisa ili wapige hela. Jamaa akawachana acheni niendeshe nchi jamani uchaguzi umeisha siasa za kuleta misuguano ziacheni..Wajinga wakaleta kiburi kilichofuata sasa wakapigwa pini hakuna vikao vya kipuuzi na movement za kupinga shughuli za kiserikali! Hapo ndio bifu likapamba moto oh magufuli ni dikteta anaminya uhuru wa kuongea 😂😂😂 kuongea hamna mtu anakukataza ila acha uchochezi! Mambo ya kichochezi hayafai maana kinachotafutwa ni nchi isitawalike iwe vurugu!
 
Yale yale tu, sahizi washaanza kumgeuka wapuuzi wale walioanza kwa mbwembwe...Mama anaupiga mwingi, mama mitano tena, mama tumpe umalikia yani Chadema ni kama watoto wadogo ukimnyima biskuti asioze meno anakuona adui!

Niseme hivi Chadema si hao unaowasema. Mitandaoni humu na fake ID lukuki kwa mtu, Elitwege wamtambua vipi?

Chadema ninaowajua siyo petty. Actually, Jana they expected it worse.

Mama aliyezungukwa kote na wahafidhina, yuko vizuri mno. Hakuna ushahidi kuhusu hilo zaidi ya huu:

IMG_20210610_103030_594.jpg

Kwani ilidhaniwa Mama ni Chadema?
 
Maza anadhani kuendesha nchi ni sawa na kucheza taarab. Watu hawajifunzi tu yaani, hivi kuna mtu aliyekuwa soft zaidi ya JK? Yule mzee ni mpole sana (hadi inakera) matokeo yake nchi ikakaribia kuwa a failed state, huku wapinzani wakichekelea na kuutumia udhaifu wake. JPM hakuruhusu udhaifu wa aina yoyote ile, yet wapinzani wakaanza kumchukia kwa kukosa talking points -- na point yao kubwa ikabaki eti uhuru wa kujieleza, bla bla.

Mama si unataka kupendwa? Fanya kila kitu wanachokwambia hao jamaa zako akina Mbowe na Lissu.
Hebu tuambie,kipindi cha JK nchi ilikaribiaje kuwa a failed state?
Kwa kumbukumbu zangu hali ilikuwa shwari,pesa mifukoni ikawepo na ajira uhakika!
Sijui unazungumzia nchi gani hapa?
 
Mdude Nyagali ametoka RUMANDE kwa huruma ya mh.Rais Samia Suluhu Hassan......

Masheikh wa UAMSHO wanakula biriani mtaani kwa sababu ya huruma ya mh.Rais Samia Suluhu Hassan......

Mbowe amefutiwa kesi yake na kurudishiwa milioni zake 300 kwa sababu ya huruma ya mh.Rais Samia Suluhu Hassan......

Kwani MDUDE NA WENZAKE wangeendelea kukaa RUMANDE kingebadilika KIPI huku mitaani ?!!!!!!

#ChademaWameanzaKubeep
Nyie watu hivi mna huruma Kama binadamu nyie. Mbona mmejawa na chuki kwa kiwango cha kupitiliza???
 
Unajua what JK used to do ali capitalize kwenye kutembeza vibahasha vya kaki sababu alikuwa na deals nyingi anapiga! Akawasoma kuwa hawa wajinga ni kuwapa mtonyo tu na wakawa wanatulia ila ikiibuka agenda ingine wanaanza kelele! Hivi ndo Wa Msoger ali survive nao...

Hakuna watu walikuwa wanapiga mtonyo kama Zitto, Late Maalim Seif, Lipumba na Mbowe katika zama zile za JK sababu ilikuwa ili wanyamazie ishu wanakamua mtonyo! Sasa wakahisi ule utoto alipoingia Magufuli atau entertain ila haikuwa hivyo utawala ulikuwa chuma kwa chuma! Hakuna kupewa hela ya bure maana kelele zao ni kwa makusudi kabisa ili wapige hela. Jamaa akawachana acheni niendeshe nchi jamani uchaguzi umeisha siasa za kuleta misuguano ziacheni..Wajinga wakaleta kiburi kilichofuata sasa wakapigwa pini hakuna vikao vya kipuuzi na movement za kupinga shughuli za kiserikali! Hapo ndio bifu likapamba moto oh magufuli ni dikteta anaminya uhuru wa kuongea 😂😂😂 kuongea hamna mtu anakukataza ila acha uchochezi! Mambo ya kichochezi hayafai
Afadhali Magu amekufa na kuoza,nchi iliendeshwa kihuni kama kikundi cha Mafia!
 
Hebu tuambie,kipindi cha JK nchi ilikaribiaje kuwa a failed state?
Kwa kumbukumbu zangu hali ilikuwa shwari,pesa mifukoni ikawepo na ajira uhakika!
Sijui unazungumzia nchi gani hapa?
Hela ilikuwepo ila sio ya halali bali hela ya wizi au madawa ya kulevya!

Kazi zilikuwepo kwa kujuana sio kila mtu alipata kazi jombaa! Kama huna connection ilikuwa unasota kama kawaida!
 
Mkuu si Mbowe wala Lissu ambao wako petty kama ambavyo yeyote angetaka kudai.

Watu hao ni sober na mama anajua hivyo.

Tofautisha maoni ya Mbowe au Lissu na watu waliotegemea kupewa mchakato wa katiba jana "on a silver platter."

Hata Mama anajua upande ule wapo wanaoona na wanaojua nini wanataka na namna gani ya kukipata.

Mama alishasema Samia = JPM.

Nini kimebadilika jana?
Mavazi tu
 
Kule Misri kuna RAIS aiitwaye EL SISI....huyo asingechezewa na hawa akina MBOWE.....

EL SISI amewaweza nduguze MUSLIM BROTHERHOOD....Leo akina MBOWE NA TUNDU LISSU wanamshambulia mh.Rais Samia Suluhu kiasi hiki ?!!!! Khaaaaa 🤣🤣🤣🤣

REST IN PEACE OUR BELOVED JOHN POMBE MAGUFULI ,AMEN!!!

#KaziInaendelea
#StaunchSupporterOfSSH
Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako,mambo wanayodai wapinzani yapo kwenye Katiba au hakuna?tuanzie hapo,
Haya mambo ya kusema niache nijenge uchumi kwanza,haki za binadamu na kisiasa baadae,ndiyo yaliyotuletea Chato kuwa mkoa,airport ya Chato,wasiojurikana,1.5tilioni kupotea.
 
Hela ilikuwepo ila sio ya halali bali hela ya wizi au madawa ya kulevya!

Kazi zilikuwepo kwa kujuana sio kila mtu alipata kazi jombaa! Kama huna connection ilikuwa unasota kama kawaida!
Acha uongo,pesa ilikuwepo hadi kwa waosha vioo vya magari barabarani!
Ajira kama sekta ya Afya na Elimu ilikuwa uhakika,kulikuwa hakuna kuapply bali watu walisubiri kupangiwa tu vituo vya kazi mara baada ya kuhitimu!
Au ulikuwa mdogo?
 
Mdude Nyagali ametoka RUMANDE kwa huruma ya mh.Rais Samia Suluhu Hassan......

Masheikh wa UAMSHO wanakula biriani mtaani kwa sababu ya huruma ya mh.Rais Samia Suluhu Hassan......

Mbowe amefutiwa kesi yake na kurudishiwa milioni zake 300 kwa sababu ya huruma ya mh.Rais Samia Suluhu Hassan......

Kwani MDUDE NA WENZAKE wangeendelea kukaa RUMANDE kingebadilika KIPI huku mitaani ?!!!!!!

#ChademaWameanzaKubeep
Wanachokipigania kitakusaidia na wewe, swala la katiba haliwahusu mbowe peke yake hata mm mwanaccm linaniusu, wakati fulani itikadi ni vyema tukaweka pembeni
 
Back
Top Bottom