Maza anadhani kuendesha nchi ni sawa na kucheza taarab. Watu hawajifunzi tu yaani, hivi kuna mtu aliyekuwa soft zaidi ya JK? Yule mzee ni mpole sana (hadi inakera) matokeo yake nchi ikakaribia kuwa a failed state, huku wapinzani wakichekelea na kuutumia udhaifu wake. JPM hakuruhusu udhaifu wa aina yoyote ile, yet wapinzani wakaanza kumchukia kwa kukosa talking points -- na point yao kubwa ikabaki eti uhuru wa kujieleza, bla bla.
Mama si unataka kupendwa? Fanya kila kitu wanachokwambia hao jamaa zako akina Mbowe na Lissu.