Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Miaka 60 hamjajenga nchi ndio mjenge leo kwasababu yakusema mzuie mikutano ya hadhara.

Hunambwa.
 
Elimu inaweza kukubeba na inaweza kukushusha pia. Div 0 yake kaitumia vizuri hasa pale alipokubali kuoa binti wa mwenye chama ni bonge la ngekewa
 
Pumbaaaf, bwege na chizi mkubwa!!!
Kumbuka inachomtokea mhuni mwenzako Ole Sabaya!!! Kuna mijitu ya CCM bado hamjajitamhua hata baada ya pigo la Jiwe lao! Mungu haha hadhihakiwi!!
Soma alama za nyakati ujitambue!!!
 
Mama kama mwenyekiti wa CCM amesema mara kadhaa kwamba asubiriwe kidogo. Hapo utasemaje CCM hawataki katiba mpya?

Nini shida tena??
Tusubiri kidogo mpaka lini,jambo lolote lenye plan,linakuwa na timeframe, kuhusu uchumi na ajira, ni zao la katiba mbaya na kandamizi, KATIBA ni msingi wa yote, Kwani kilichoharibu uchumi na hata ajira si kilitokana na katiba,iliyotengeneza mamlaka isiyo wajibishwa??? Na kwa kweli ili si jambo la CCM,ni jambo la taifa,Hatujadili kuhusu katibu mwenezi wa CCM,tunajadili mustakabali wa taifa,watu 60,million, Tuwasikilize.kiongozi anachaguliwa na wananchi na wala kiongozi achagui wananchi.Wananchi wanataka kusema nchi iongozweje, wao ndio waamuzi wa namna gani waendeshe nchi yao.Mambo ya kuteka fikra za watu yameshapitwa na wakati.
 
If you read mbowe between the lines he is acting.
 
Tulifikiri kuwa baada ya pombe ni suluhu kumbe majaliwa ya nchi bado ni mpango wa kivuli cha Magufuli!
 
hahahaaaa kumbe tunahangaishwa na LIZIRO DIVISION? ndiyo maana mpaka wafuasi wake wanafujo kumbe wanaongozwa na zero duuuuu aibu
 
Miaka 60 hamjajenga nchi ndio mjenge leo kwasababu yakusema mzuie mikutano ya hadhara.

Hunambwa.
tangu muwe wapinzani mmeshindwa kujenga ofisi makao makuu ndo mpewe nchi mtaiweza?
 
Nyambafu hiyo sio HISANI .....Haki haiombwi...azidi kuunguwa huko Jehanamu
 
Duuh mkuu tuambie hivi ni kweli alikua DJ.
 
Pumbaaaf, bwege na chizi mkubwa!!!
Kumbuka inachomtokea mhuni mwenzako Ole Sabaya!!! Kuna mijitu ya CCM bado hamjajitamhua hata baada ya pigo la Jiwe lao! Mungu haha hadhihakiwi!!
Soma alama za nyakati ujitambue!!!
Tulia dawa ikuingie!

Na bado chanjo nayo tutakuchanja utake usitake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…