Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Aliyewaweka ndani wenzake leo Yuko wapi mkuu?
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 maza ANADEMKA sana anadhani Watanzania wote ni wajinga sana hivyo tuukubali uongo wake au janja janja kama alivyoiita Baba wa Taifa ya kuendelea kung’ang’ania madaraka kwa njia haramu.
Ametekezaje wkt majuzi hapa alisema rais hakosei?
 
Kimoyo moyo una kubali kuwa bila yeye matakwa yenu mengi yasingefanikiwa.
Uamsho
Mdude
Kina mbowe kurudishiwa fedha zao
Kesi ya kina Tito magoti na mengine mengi. Si mlikuwa mnapigania siku nyingi na amelegeza kamba. Kwanini unabisha tu ili mradi ubishe? Chadema bwana...
Na bado Kuna mambo mengi tu kutwa mnamuomba mama alegeze, analegeza na bado mnamponda
 
We jamaa unakuaga mata#$#$ko sana. Nani yuko madarakani kwa njia haramu?
Au nani anang'ang'ania kubaki madarakani?
Ushaona wapi nchi hii Rais wa CCM akakomaa madarakani?
Acha ukondoo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikubali UNAFIKI mimi wa yeye kuukumbatia udikteta huku akienjoy utamu wa kitumbua chake kisha kutaka kujifanya anajiweka mbali na maovu ya dhalimu magufuli wakati huo huo anashindwa kuwachukulia hatua muafaka wahuni wote waliowabambikia kesi masheikh wa uamsho, Viongozi wa Chadema, Mdude na Watanzania wengine chungu nzima.
Narudia mama huyo ni dikteta hafai kuaminiwa hata chembe. Miezi mitatu inatosha sana kujua mtu mwenye nia njema na Watanzania au mwenye nia OVU. Samia ana nia OVU na Watanzania ya kuendelea kuminya uhuru na haki zetu za kuchagua Viongozi tuwatakao bila kuingiliwa na mtutu wa bunduki au Tume FAKE ya uchaguzi.
 
Hizo ni hadithi tumezizoea - ndiyo maana yeyeyeyeye alilosemea Rais!
 
Haya, poleni.
 
Nadhani Hawa watu Lissu na Mbowe watanzania wanapaswa kuwa nao makini,sasa wamefikia Hali ya kutaka kumpanda kichwani mama wakiamini kuwa sasa hivi ndo Wakati sahihi wakuanzisha uana harakati uchwara wao .

Watu Hawa ni maadui wa taifa ,wapingwe kwa kila namna,Safi Sana mama ,ni mwendelezo wa Bann mpaka 2025,na uzuri walishasema kuwa bila katiba mpya hawatashiriki uchaguzi ,kwahiyo mama atajitwalia awamu ya pili kimtelemko.

Asante Sana mama ,piga kazi achana na mavuvuzela ya chadema.
 
Kwani wewe huathiriki na kuminywa haki na uhuru wa Watanzania kuchagua Viongozi tunaowataka? Huathiriki na kuwa na vyombo vya habari kutokuwa huru? Huathiriki na nchi kutokuwa na chochote cha kujivunia baada ya miaka 60 ya uhuru? Ajira, elimu, afya, umeme, maji etc huathiriki na chochote kile?
Haya, poleni.
 
M
..Mama ameteleza.

..Eti anarekebisha uchumi!

..Na kutengeneza ajira!!

..hizo ni kazi ENDELEVU, hufanyi miezi miwili mitatu halafu ukapumzika.
Mmeambiwa nyinyi hivyo kwa sababu mlisherehekea mwanzoni! Mlifikiri CCM inafuata matakwa ya CHADEMA! Jibu ni kwamba inatekelezwa ilani ya CCM kwanza - na pia anawaambia kwa upole sana kwamba awamu ya 6 ni extension ya awamu ya 5! Kama mlivyo zoea, CCM ni ile ile.
Tangu leo acha zile terms zenu za mataga, sukumagang etc, ukweli mmeuona, kama vipi, muulize Lissu kama nina sema uongo ndugu zangu!
 
Kwa hiyo MBOWE akisema HAPANA ndio anawasemea WATANZANIA WOTE?!!!

Hapana yake ni ya KIJINGA TU.....walisema HAPANA....na hawakutokea pale UBUNGO.....asimbabaishe mtu bana....

#KaziInaendelea
Kabisa tena akae kwa kutulia
 
H
Hajateleza awamu ya sita ni Ext. ya tano
SAMIA = MAGUFULI 100%. Hamkujua na mtapata taabu sana. Mtatamani muwe na original (Magufuli) maana mlisha kuwa sugu naye! Kwa huyu mnaaza 1!
 
Alisha waambia mkosoeni, ila iwe kiistarabu, ninyi hamjamkosoa, ni lazima atengeneze mazingira ya kuwapima kama mlimuelewa, si kwamba amewa ban, she knows what she is doing, she listens to what you say and respond in public
Tatizo wenzetu hawa akili yao ndogo
 
Anataka kujifurahisha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…