Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA


Mambo mengine haya mbona kutafuta marumbano yasiyokuwa na tija. Huu woga wa kuruhusu mikutano unatokea wapi? Tension ipi unayoiongelea?

Iliwahi kutokea wapi au lini tension hiyo?
 
Binafsi nimeshasema hivyo, hawa kumbe bora kuwalamba mijeledi na kuwafanyia umafia tu, ukiwaendekeza huwezi kutawala maana akili zao zakitoto saaana halafu hawajui maana ya siasa na kuongoza nchi..
Mmoja wao alikua kama wewe na akaomba cheo cha kuongoza malaika na hatimae akatunukiwa cheo hicho na kingine cha juu kabisa cha ushujaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpuuzi sana huyu sijui nani kamdanganya kwamba Samia ana hati miliki ya nchi hivyo anaweza kuropoka upuuzi wake na Watanzania tukakaa kimya.

Hili taga taahira hua linajificha ficha kwa hofu,hua linajaribu kujitokeza hadharani Kama hivi likiona uislama mixer CCM imeguswa.
 
Hlo ulilozungumza ni sawa,isipokuwa fikra zimeshajengwa ktk nchi hii watu kutegemea ihsan kwa kiongozi wa juu.
Hakika ubovu wa katba iliyopo hata CCM wameonja machungu yake
 
Uchumi uneyumba wapi wkt shujaa alisema uchumi wetu ni moja ya uchumi unaikua kwa kasi Africa?Kumbe jamaa alikua muongo eeh.
 
Mmoja wao alikua kama wewe na akaomba cheo cha kuongoza malaika na hatimae akatunukiwa cheo hicho na kingine cha juu kabisa cha ushujaa.
Kufa ni mipango ya Mungu, hata wewe siku yako ikifika utakufa na utafukiwa ardhini tu. Kifupi hakuna atakayeishi milele...

Amekufa akitumikia nchi, ana mabaya na mazuri yake kama binadamu...Mwenyezi Mungu ndio anajua ubaya na uzuri wake zaidi na kama pepo au moto zote ni za Mwenyezi Mungu na ndiye anayeweza kuchagua wapi kwa kumuweka mja wake kama ambavyo hata wewe ukifa..
 
Mpuuzi sana huyu sijui nani kamdanganya kwamba Samia ana hati miliki ya nchi hivyo anaweza kuropoka upuuzi wake na Watanzania tukakaa kimya.
Hahah vijana wanajitoa ufahamu tu,mfano tukiwauliza ni wapi kwny Katiba imeandikwa mwanasiasa haruhusiwi kutoka Jimbo 1 Hadi kingine kupiga siasa?Yatabaki yanalia Lia tu.
 
Kumbe we jitu la hovyo darasa la saba
 
Ndio maana Magu alikuwa anawadharau sana chadema!

Na juzi hapa walikuwa wanademka kumsifia eti anawakomesha mataga
 
Mtetezi wa wanyonge watu wako wanatoa sadaka ya shukrani kila wiki huku makanisani,eti mniombeeeee.

Yaani Mimi uninyime mkono halafu uniambie nikusainie mafao yako ukatibiwe,sikusaini ng'oooo-Akimwambia Maalimu hapo.


Yaani yule jamaa alijionaga kama jackie Chan vile.
 
Sasa kuna kipindi nitaacha kulaumu Tabia za hayati Magufuli, na CHADEMA waangalie sana maana mama anawapa tabasamu watanzania sasa msije mkazalisha dikteta mpya.
KUNA DIKTETA KWA ASIRI NA DIKTETA WA KUTENGENEZWA. Hata kwenye ndoa kuna tabia za mke zina weza kumfanya mume kuwa mlevi au kuwa na nyumba ndogo
 
Kamfuate Jiwe umbusu huko aliko
 
Mnataka hyo katiba ili hii inch isitawalike..kila siku tuwe tunakimbizana mahakaman na kina lisu..hii ni africa wew
 
Naona una mpango wa kufanywa nyumba ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…