Mkuu nikwambie ukweli ccm hawataki kujenga tahasisi imara Bali wanajenga chama Chao tu.katiba si sehemu ya mahitaji yao kabisa.Nchi haitakiwi kuendeshwa kwa huruma ya mtu,katiba ndio dawa,anachofanya mama ni kulewa madaraka na udikteta wenyewe huo. Ngoja atafurahishwa tu huko huko chamani kwake.
Inamghalimu nini kuwaita viongozi wa upinzani na kuongea nao?!!!
Inamghalimu nini mikutano ambayo ipo kikatiba ikifanyika?!! Anaogopa nini?!!! Mikutano hiyo inatumia fedha za wagonjwa wa hospital ama za familia yake?!!!
Mwanasiasa Nazi yake ni kufanya Siasa..Fanyeni kazi nyinyi, acheni porojo. Uchumi kwanza.
Hahah kua attention tu mkuu.Upo sahihi kabisa. Bora wewe lapili. Mimi la tatu
Unajiongeresha kama vile umekatwa kichwa. Pumbavu sana nyie wachumia tumbo.Tundu Lissu banaa ha ha ha 🤣🤣🤣
Kama ilishindikana KUWAONGOZA WENZAKE pale UBUNGO baada ya ule uchaguzi Leo hii ndio WAMPINGE RAIS KWA NGUVU ZOTE WANAVYOJISIKIA huko HADHARANI ?!!!!🤣🤣🤣
Tundu Lissu banaaa kweli ana "GRANDIER DELUSION".....
Your beloved.Kule Misri kuna RAIS aiitwaye EL SISI....huyo asingechezewa na hawa akina MBOWE.....
EL SISI amewaweza nduguze MUSLIM BROTHERHOOD....Leo akina MBOWE NA TUNDU LISSU wanamshambulia mh.Rais Samia Suluhu kiasi hiki ?!!!! Khaaaaa 🤣🤣🤣🤣
REST IN PEACE OUR BELOVED JOHN POMBE MAGUFULI ,AMEN!!!
#KaziInaendelea
#StaunchSupporterOfSSH
Tulieni sindano iwaingie vizuri!! Hivi mlitegemea awatengee biriani mezani?"Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA. Yawezekana, wewe na washauri wako hamjaelewa maumivu tuliyopitia kwa miaka 5 ya mtangulizi wako!! Na ndiyo sababu tulikuomba sana utusikilize mapema!! Kauli hii leo inatulaza na machozi!! Very very sad!!"-Freeman Mbowe
Sawa mkuuHahah kua attention tu mkuu.
Hivi huyu Elisisi bado yuko madarakani mpaka sasa?.Kule Misri kuna RAIS aiitwaye EL SISI....huyo asingechezewa na hawa akina MBOWE.....
EL SISI amewaweza nduguze MUSLIM BROTHERHOOD....Leo akina MBOWE NA TUNDU LISSU wanamshambulia mh.Rais Samia Suluhu kiasi hiki ?!!!! Khaaaaa 🤣🤣🤣🤣
REST IN PEACE OUR BELOVED JOHN POMBE MAGUFULI ,AMEN!!!
#KaziInaendelea
#StaunchSupporterOfSSH
'Human rights is not my priority,do u love corruption? Corruption is the cancer'-Bwn yule akiwa zake Uganda kwny mkutano wa waandishi wa habari.Kiukweli pamoja na mapungufu yake ila raisi ameonyesha japo mwelekeo maana lazima kuwe na vipaumbele katika kujenga nchi cha msingi tuwe wavumilivu, kama yeye anasema anaweza kulifanyia kazi basi hakuna tatizo tumpe muda pia maana ameonyesha nia japo mahitaji ya katiba mpya ni muhimu sana
Chato Nasikia maombi yamepelekwa Vatican John apewe utakatifu - Seint MagufuliNa kaburi la maalim linagombewa kuchukuliwa mchanga na wananchi mpk ulinzi umewekwa kuzuia Hilo,chato sijui Kuna Hali gani.
Tundu Lissu banaa ha ha ha 🤣🤣🤣
Kama ilishindikana KUWAONGOZA WENZAKE pale UBUNGO baada ya ule uchaguzi Leo hii ndio WAMPINGE RAIS KWA NGUVU ZOTE WANAVYOJISIKIA huko HADHARANI ?!!!!🤣🤣🤣
Tundu Lissu banaaa kweli ana "GRANDIER DELUSION".....
Matoto ya ibilisi ni maongo kama alivyo baba yao.Acha kuandika ujinga wewe! Eti ametoka kwa huruma ya mama wakati hukumu inasema kwamba hakukuwa na ushahidi wa kumtia hatiani. Kwanini unaandika uongo kiasi hili kama vile wengine hatukusikia hukumu husika? Na nani aliyekudanganya huruma ya mama ndiyo iliwatoa masheikh wa uamsho!? Uwe unasikiliza kwa makini badala ya kuja hapa na kupindisha ukweli husika.
Waaambiiiiiie wasijisahauAcha kutupigia kelele!
Mdude tumenyoosha baada ya kuwa hana adabu na sasa kawa na adabu ndio sababu tumemuachia!
Mwambie akirudia atakiona! Si umesikia mama anasema anataka heshima na adabu za kiafrika?
Ati kateleza [emoji15][emoji15][emoji15]..Mama ameteleza.
..Eti anarekebisha uchumi!
..Na kutengeneza ajira!!
..hizo ni kazi ENDELEVU, hufanyi miezi miwili mitatu halafu ukapumzika.