Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Nchi haitakiwi kuendeshwa kwa huruma ya mtu,katiba ndio dawa,anachofanya mama ni kulewa madaraka na udikteta wenyewe huo. Ngoja atafurahishwa tu huko huko chamani kwake.

Inamghalimu nini kuwaita viongozi wa upinzani na kuongea nao?!!!

Inamghalimu nini mikutano ambayo ipo kikatiba ikifanyika?!! Anaogopa nini?!!! Mikutano hiyo inatumia fedha za wagonjwa wa hospital ama za familia yake?!!!
Mkuu nikwambie ukweli ccm hawataki kujenga tahasisi imara Bali wanajenga chama Chao tu.katiba si sehemu ya mahitaji yao kabisa.
 
Fanyeni kazi nyinyi, acheni porojo. Uchumi kwanza.
Mwanasiasa Nazi yake ni kufanya Siasa..
Kumzuia ni kama kumtoa samaki majini ili aendelee kuishi.Kwanza hakuna kipengele chochote iwe katiba au sheria inayo mpa mamlaka au wajibu Rais kusimamia vyama vya Siasa.Ata ingekua Decree ina utaratibu wake.
 
Hilo swala hata chama chake nadhani kilitega sikio kwa makini sana.
Lakini ipo dalili njema kwa wapinzani baadae.
Sisi tusio na vyama bado tupo kwenye sherehe kwakweli. Mama anatupa kucheka kila uchao.
 
Kiukweli pamoja na mapungufu yake ila raisi ameonyesha japo mwelekeo maana lazima kuwe na vipaumbele katika kujenga nchi cha msingi tuwe wavumilivu, kama yeye anasema anaweza kulifanyia kazi basi hakuna tatizo tumpe muda pia maana ameonyesha nia japo mahitaji ya katiba mpya ni muhimu sana
 
Tundu Lissu banaa ha ha ha 🤣🤣🤣

Kama ilishindikana KUWAONGOZA WENZAKE pale UBUNGO baada ya ule uchaguzi Leo hii ndio WAMPINGE RAIS KWA NGUVU ZOTE WANAVYOJISIKIA huko HADHARANI ?!!!!🤣🤣🤣

Tundu Lissu banaaa kweli ana "GRANDIER DELUSION".....
Unajiongeresha kama vile umekatwa kichwa. Pumbavu sana nyie wachumia tumbo.
 
Kule Misri kuna RAIS aiitwaye EL SISI....huyo asingechezewa na hawa akina MBOWE.....

EL SISI amewaweza nduguze MUSLIM BROTHERHOOD....Leo akina MBOWE NA TUNDU LISSU wanamshambulia mh.Rais Samia Suluhu kiasi hiki ?!!!! Khaaaaa 🤣🤣🤣🤣

REST IN PEACE OUR BELOVED JOHN POMBE MAGUFULI ,AMEN!!!

#KaziInaendelea
#StaunchSupporterOfSSH
Your beloved.
 
"Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA. Yawezekana, wewe na washauri wako hamjaelewa maumivu tuliyopitia kwa miaka 5 ya mtangulizi wako!! Na ndiyo sababu tulikuomba sana utusikilize mapema!! Kauli hii leo inatulaza na machozi!! Very very sad!!"-Freeman Mbowe
Tulieni sindano iwaingie vizuri!! Hivi mlitegemea awatengee biriani mezani?
 
Kule Misri kuna RAIS aiitwaye EL SISI....huyo asingechezewa na hawa akina MBOWE.....

EL SISI amewaweza nduguze MUSLIM BROTHERHOOD....Leo akina MBOWE NA TUNDU LISSU wanamshambulia mh.Rais Samia Suluhu kiasi hiki ?!!!! Khaaaaa 🤣🤣🤣🤣

REST IN PEACE OUR BELOVED JOHN POMBE MAGUFULI ,AMEN!!!

#KaziInaendelea
#StaunchSupporterOfSSH
Hivi huyu Elisisi bado yuko madarakani mpaka sasa?.
 
Thanks
Kiukweli pamoja na mapungufu yake ila raisi ameonyesha japo mwelekeo maana lazima kuwe na vipaumbele katika kujenga nchi cha msingi tuwe wavumilivu, kama yeye anasema anaweza kulifanyia kazi basi hakuna tatizo tumpe muda pia maana ameonyesha nia japo mahitaji ya katiba mpya ni muhimu sana
'Human rights is not my priority,do u love corruption? Corruption is the cancer'-Bwn yule akiwa zake Uganda kwny mkutano wa waandishi wa habari.
 
me naamin bi mkubwa mpigania haki! ayasilize na kuyafanyia kazi, penye mashiko arekebishe pasiwe tena na ukandamizi..
 
Na kaburi la maalim linagombewa kuchukuliwa mchanga na wananchi mpk ulinzi umewekwa kuzuia Hilo,chato sijui Kuna Hali gani.
Chato Nasikia maombi yamepelekwa Vatican John apewe utakatifu - Seint Magufuli
Mimi nitaunga mkono hilo. Hapa siyo Mchanga ni utakatifu mzima
 
Mipinzani inademka sana siku hizi, enzi za mwenyewe awamu ya 5 yote yaliufyata.
 
Tundu Lissu banaa ha ha ha 🤣🤣🤣

Kama ilishindikana KUWAONGOZA WENZAKE pale UBUNGO baada ya ule uchaguzi Leo hii ndio WAMPINGE RAIS KWA NGUVU ZOTE WANAVYOJISIKIA huko HADHARANI ?!!!!🤣🤣🤣

Tundu Lissu banaaa kweli ana "GRANDIER DELUSION".....

Inaonekana ww ni kijana unayebalehe, kama sio basi utakuwa ni mshamba fulani. Maana hivyo viemoj vinaonyesha umri wako.
 
Acha kuandika ujinga wewe! Eti ametoka kwa huruma ya mama wakati hukumu inasema kwamba hakukuwa na ushahidi wa kumtia hatiani. Kwanini unaandika uongo kiasi hili kama vile wengine hatukusikia hukumu husika? Na nani aliyekudanganya huruma ya mama ndiyo iliwatoa masheikh wa uamsho!? Uwe unasikiliza kwa makini badala ya kuja hapa na kupindisha ukweli husika.
Matoto ya ibilisi ni maongo kama alivyo baba yao.
Uongo
Uongo
Uongo mtupu!!
 
Hivi Tanzania kuna bunge? Au kuna kikundi cha wahuni wa Ccm walio jikusanya na kujiita wabunge?
Kwa mara ya kwanza Mama amechemsha, maana majimbo yote ni Ccm ili pora, anapo sema wabunge wafanye mikutano kwenye majimbo yao, je? Vyama vya upinzani waka fanyie mikutano ya hadhara Kenya?
Kuna tatizo mahali.
Kwamba Mama hajui kama upinzani hawana wabunge?
She is not serious!!!!!
 
Mnamuona faala sasa mwamsheni halafu muanze kutupigia kelele kila anayekuja kwenu m baya hata dunia itawashangaa, nilijua tu hii mara mbeya mara wapi haina jema mlikuwa mnapima upepo, ingieni barabara mtakwenda wasimulia wake zenu, Sisi tupo watoa pole
 
Back
Top Bottom