Mkuu nikwambie ukweli ccm hawataki kujenga tahasisi imara Bali wanajenga chama Chao tu.katiba si sehemu ya mahitaji yao kabisa.Nchi haitakiwi kuendeshwa kwa huruma ya mtu,katiba ndio dawa,anachofanya mama ni kulewa madaraka na udikteta wenyewe huo. Ngoja atafurahishwa tu huko huko chamani kwake.
Inamghalimu nini kuwaita viongozi wa upinzani na kuongea nao?!!!
Inamghalimu nini mikutano ambayo ipo kikatiba ikifanyika?!! Anaogopa nini?!!! Mikutano hiyo inatumia fedha za wagonjwa wa hospital ama za familia yake?!!!