Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Acha kutupigia kelele!Kwa hiyo kwa akili yako fupi Samia ndiye aliyegundua kwamba hakukuwa na ushahidi wa kuwatia hatiani watuhumiwa? Samia tangu lini amekuwa lawyer? Na huo upelelezi kaufanya lini hadi lini ili kuhitimisha kwamba watuhumiwa hawana hatia!?
Political will kwenye kesi za kubambikia watu? Ulitaka aendelee kutumia mahakama kuminya haki za Watanzania ambao hawana hatia yoyote? Kumbuka HAKI siku zote huinua Taifa na dhuluma na udhalimu huangamiza Taifa.,
Mdude tumenyoosha baada ya kuwa hana adabu na sasa kawa na adabu ndio sababu tumemuachia!
Mwambie akirudia atakiona! Si umesikia mama anasema anataka heshima na adabu za kiafrika?