ni sisi pia ndio tulikuwa tukibishana naye na kumwabia hapana, uchumi wetu una hali mbaya kulingana na viashilia tulivyoviona wakati ule..
Mama anatuambia ukweli hali ya uchumi ilivyo na mivurugano iliyopo ambayo yanahitaji suluhu kuiokoa nchi na kuirudisha kwenye njia, bila shaka hiki kingekuwa kipaumbele cha kila mtu ndio aendelee na mambo mengine..
Katiba ni hitaji la kila mtu sio CDM au wapinzani tu na hii sio agenda ya kisiasa bali agenda ya wananchi tulio wengi....Je tuko tayari kuuanza mchakato kwa maana ya kifikra na kiuchumi?