Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Huu ni mtazamo wako! That guy kwa tafsiri nilionayo alikuwa a solid leader! Sio mtu wa ku meander ama ku compromise...Sasa watu wengi walizoea utawala wa kuwa baby sitted kudekezwa kwake hakuwa na hilo! Ni kama baba wa Kambo🤣🤣🤣Alitaka kujifurahisha nafsi yake zaidi