Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzanzibar yeyote anajiona mwarabu hata kama ni mweusi tii kuzidi wachezaji was Zalan FCSi mwarabu Yule...
Mwinyi mwarabu?!
Na nyoka mwenyewe ni wa kijani.Kama bandari Haina ufanisi ni jukumu la kiongozi kuhakikisha Efficiency inapatikana.
Nyoka akiingia ndani ya nyumba HATUUZI nyumba, HATUCHOMI nyumba, tunamtoa nyoka!!!!
Sa100 must go!!!
Za miaka
Shame on youDP world ni kampuni kongwe kwenye sekta ya bandari duniani..,ilishaoperate hata baadhi ya bandari ndani ya ardhi ya USA..
Sijui mpaka sass kama bado wanaendelea baada ya amendment ya kiusalama kupelekwa kwenye bunge Ili Dp world inyang'anywe zile bandari 3 iliyokuwa ikiziendesha...
In short Kwa upigagaji ulioko kwenye bandari yetu....na urasimu usio na maana....
Ni mara mia kuipa tenda Dp world...
Baadhi ya wanasiasa wanaopiga piga kelele....
Wana maslahi binafsii Moja Kwa Moja kupitia kampuni walizonazo zinazobond na bandari Moja kwa moja.....
Huu ukweli hausemwi!....
Tutapata mapato pengine mara 3 zaidi!...ya kile bandari inachoingiza sasa....huu ni ukweli mchungu....
Baadhi ya wanasiasa wanaoikataa Dp world....
wanatumia nguvu kubwa kwa kuwa ukweli ni kwamba mirija yao itakuwa imekatwa RASMI!
Na hichi kitu watakipinga kwa jasho na damu Hadi tone la mwisho ...
Uzito wa kuwa na mfedheheko hufanya binadamu kuwa na woga.Nakukumbusha mkuu nchi uchaguzi huwa geresha hivyo 2025 kitu pengine kinaweza saidia ni kutiana adabu ila kwa karatasi haiwezekani kamwe kuiondoa CCM.
Unataka kutwambia kiongozi wetu Hana uwezo wa kukataa ushauri mbaya?wamemshauri vibaya, na WAtanganyika tunatakiwa kujiimarisha na kujitafakari sana 2025
Mkuu hii ni kauli mbiu yangu humu ndani muda wote, uchaguzi hapa Tanzania ni kupotezeana muda tu, machafuko pekee yake ndio yataondoa huu uhuni.Nakukumbusha mkuu nchi uchaguzi huwa geresha hivyo 2025 kitu pengine kinaweza saidia ni kutiana adabu ila kwa karatasi haiwezekani kamwe kuiondoa CCM.
ni binadamu, sio malaika. yeye mwenyewe anajijua kuwa sio malaika.Unataka kutwambia kiongozi wetu Hana uwezo wa kukataa ushauri mbaya?
Incompetent leader?
Sa100 must go!!!
Toa ushauriTatizo wabongo ujasiri wetu huishia nyuma ya keyboard tu.
Akishauriwa auze wanae wa kuwazaa atakubali?ni binadamu, sio malaika. yeye mwenyewe anajijua kuwa sio malaika.
Usisahau remote iko musongaTumuunge mkono Mbowe na Chadema kwa ujumla wake!
Huu mkataba unapaswa kuwa daraja la kuiondoa CCM na Bunge lake!
Hii inafaa kuwa ticket ya Samia kurudia Zanzibar!
Uhuni ufike mwisho sasa!
#kataawahuni