Mbowe mbioni kung'olewa CHADEMA

Magazeti yanayopata ruzuku toka Lumumba !! kweli njaa imekuwa kali sana ndugu zangu.
 
Mbowe ameonyesha udhaifu mkubwa sana kipindi hichi..sichelei kusema kuwa walambisha asali wameshamlambisha asali.

Tusitegemee jipya tena kutoka kwake katika mapambano haya ya kumwondoa mkoloni mweusi.

Katiba mpya ni sasa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wampige chini huyo mlamba asali.
kwa namna mwamba anavowasumbua Lumumba, aisee itatakuwa sherehe ya siku 7 endapo ataamua kupumzika siasa.

Ila kwa taarifa yenu ni kwamba Mwamba hapumziki hadi lengo la kuipa Tanzania katiba mpya, demokrasia ya kweli na utawala wa sheria linafikiwa nchini. alutaaaaaaa... !!
 
Mbowe ameonyesha udhaifu mkubwa sana kipindi hichi..sichelei kusema kuwa walambisha asali wameshamlambisha asali.

Tusitegemee jipya tena kutoka kwake katika mapambano haya ya kumwondoa mkoloni mweusi.

Katiba mpya ni sasa.

#MaendeleoHayanaChama
How?
 
Sana mkubwa
 
Upo sahihi kabisa amekiongoza chama katika wakati mgumu kupindukia wakati wa DICTATOR uchwara, amenusurika kwa mengi mno japo alifilisiwa lakini alisimama kiume, chadema imtengenezee sanamu.
 
Chadema bila mbowe na wachangiaji wa pesa wengi watokeao Kilimanjaro, hakitadumu. Tunajua kuna like genge linalo mtaka Tundu Lissu achukue mikoba yake, wajue kama ni KELELE na UROPIKAJI tuu, wataupata kwa TL, lakini Busara, Maendeleo na michango hawataipata kutoka kwa TL
 
vipeperushi vya mashoga na mashoga ya ccm mnafikir mbowe ni mbatia jaribuni kama hamjaongeza umarlarufu wa mbowe mlishindwa kwenye kesi ya ugaidi mje muweze leo lumumba bana wajinga kweli.
Kesi ya ugaidi hakushinda
 
Vifungashio hivyo unavisoma wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…