Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,088
- 2,122
kilichonikera sio tu kwamba mbowe hekima zimeisha, bali pia ameondoa uhalali wa mambo yote waliyokua wanapigania, kwa kauli hyo ni wazi chadema ya mbowe haitakaa iingie ikulu, kila chadema wakijitahidi kujieleza ccm hoja yao itakua simple, mbowe ni mroho wa maradaka na sio mpigania haki, ukweli wala uhuru... haya maneno ya mbowe ni fimbo tosha kuwachapia wapizani kweli kila hoja zao.
ushauri wangu kwa lissu na team yake ni kusimama imara, kufanya kampeni nzuri na za kisomi, kisha kupambanaa na mbowe kwenye sanduku la kura, matokeo yoyote ayapokee na atachokiamua kitakua ni sahihi.