Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,942
- 4,230
Sawa mkuu..downfall gn juha wewe, hizo nadharia zenu pelekeni ccm, nenda kawatishe ccm hizo kelele za chura!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu..downfall gn juha wewe, hizo nadharia zenu pelekeni ccm, nenda kawatishe ccm hizo kelele za chura!
Arama ndio nini?...ameshindwa kusoma arama za nyakati.........
Chadema itakufa na CCM imefanikiwa sana kuua upinzani kwa kuwatumia wenyeviti wao.jamani si kura zitapigwa...msingi wa demokrasia ni :WENGI WAPE;
🚮🚮🚮Chadema itakufa na CCM imefanikiwa sana kuua upinzani kwa kuwatumia wenyeviti wao.
Chama cha kikabila na SACCOS ya Mtu mmoja .
Kama kura za Jumla za madiwani na Wabunge ni za wamachame peke yao basi chama kitadumu .
Nadhani ni vizuri Lisu akajitoa .
Kugombea na Mbowe ni hatari kuliko kuingia msikitini na nguruwe.
Ni wazi Mbowe anaweza akafanya yale ya Chacha Wangwe. Hiki Chama ni mali yake na yupo Tayari kwa lolote alimradi awe mwenyekiti .
Watu wanengempenda Mbowe wangeandamana pamoja na yeye au wangepinga alipokaa gerezani zaidi ya miezi 6. Hakuna aliyeandamana leo anasema bado wanamkubali.
Mh. Lisu Tafadhali ni wakati wa kutafakari kujitoa kama ilivyoahidi kuwa Mwenyekiti akigombea basi wewe hutagombea. Na ulisema mwenyewe .
Lisu wewe ni Mtu mwenye msimamo thabiti na watanzania wote tunajua hilo. Rejea msimamo wapo na simamia ulichokuwa umekimaanisha
Mh. Lisu Huna namna ya kushindana na bilionea Mbowe ambaye serikali pamoja na watu wasiojulikana wapo Nyuma yake . Ndio maana alitajwa mara nyingi kuhusika kwenye utekaji na mauaji lakini hajawahi kukamatwa wala kuhojiwa . Leo hii Tundu Kisu utapambana vipi na mafya aliyesema chama ni cha kwake . Utamshindaje mtu kwenye Chama chake . Wa ananchi wengi sana wapo Nyuma ya Lisu lakini Nyuma ya Mbowe wapo watu wenye pesa nyingi, wa wahuni na matapeli wa kisiasa . Wanufaika wa siasa chafu wameungana kupinga uwazi ,uzalendo na misingi ya katiba za vyama vyao .
Hivi Mbowe akirudi kwenye kiti ,Lisu ataitangaza vipi Chadema na kudai katiba mpya ili ilete mabadiliko yapi tofauti na ndani ya vyama vyao.
Unateseka ukiwa wapi Mkuu ?Chadema itakufa na CCM imefanikiwa sana kuua upinzani kwa kuwatumia wenyeviti wao.

katiba ya mwanzo ilikuwa na ukomo kabla ya kubadirishwa na huyu mleviAcheni ujinga ,katiba ya sasa ya chadema inasemaje? au imebadilishwa ? Hicho kifungu cha ukomo bado hakijafanyiwa kazi , kwa iyo mnataka mtamshi yenu ndo yawe sheria mama wakati katiba kifungu hicho bado hakijabadilshwa?
Mpaka sasa Mbowe hajavunja katiba ya chama maana hicho kifungu hakijabadilishwa
Unateseka ukiwa wapi Mkuu ?
makasiriko mengi mpaka unakosea majina ya watu. Mara Lisu mara Kisu.
Tulia Mkuu, Kama ni riziki ya Lissu atachaguliwa tu kama sio Yeye ataweka rekodi ya kupambana na jabari la siasa za upinzani.
CCM wataendelea kucheza na hii kete. As long as “wanachaguliwa”…..Wakuu,
Mbowe anasema wanaosema aachie madaraka wakome, hajachoka, bado ana nguvu za kutosha na kuweza kufanya mikutano 8 kwa siku bila kula, kama kuna mtu ana nguvu kama yeye ajitokeze.
Mbowe asema ukomo wa madaraka ni watu wanaokutaka au kukukataa, na huu ndio ukomo halisi wa demokrasia. Kuna watu wakiongoza mara moja wanakataliwa, lakini wengine wanachaguliwa tena na tena, hawawekewi ukomo kwa sababu watu wanawataka.
Mkuu ni vizuri ungeenda kupiga kura ya kumkataa Mbowe.Dah huyu jamaa kanivunja moyo sana, nilikua namheshimu ila ndio basi tena. Upinzani Tanzania umekufa rasmi.
Wewe unaona sasa una nguvu yoyote,kifuatacho watapewa viti viwili vya ubunge kuwarubuni wapumbavu kama nyieHamjaanza leo kusema upinzani umekufa.
Mbowe ni mwamba Imara, ni jabali.
We kaandani na mumeo muache mbowe akapige kazi
Tatizo sio mjumbe wa mkutano mkuu ila tungepiga wanachama sidhani hata Mbowe angefikisha kura 20.Mkuu ni vizuri ungeenda kupiga kura ya kumkataa Mbowe.
Mbowe kwa miaka aliyoongoza chama ana wajumbe wengi machawa wa kumpigia kura za kushinda uenyekiti!Binasfi kama anagombea sawa sanduku la kura ndo litaamua , aya mambo yakusema mtu asigombee ,iwe ni hiyari ya mtu ,cha msingi kura zipigwe kwenye uwazi ,kuhesabika kwa uwazi basi
Umekufa kwako.usijumuishe hisia zako kwakila mtu.Kama una mawazo mapana ilitakiwa ujue lissu inamfaa ajipange kugombea urais mwakani nasio uenyekiti wa chama.Hili la uenyekiti mnalolishupalia haliwezi kumfikisa lissu kwenye mabadiliko mnayoyatamani.Dah huyu jamaa kanivunja moyo sana, nilikua namheshimu ila ndio basi tena. Upinzani Tanzania umekufa rasmi.
wewe sema una mahaba na lissu.Kwasababu angekua ni mgombea mwingine na mbowe sidhan kama ungekuja na hizi hoja.Tuheshimu demokrasia kwa mapana yake bila kuvunja sheria.Imara gani? Walau Lissu alikua anakipa uhai chama ila huyu Mbowe hana new ideas na siku akifariki ghafla utatokea ugomvi mkubwa sana wa madaraka. Bora angepisha mapema wagombee wengine ili awape mentorship akiwa bado yupo Hai. Mbona Odinga kapisha na zito kapisha why ahodhi madaraka mpaka leo?
Hiki chama ndio mwisho wake huu.
Sema unamtaka.usiweke wingi kwenye jambo la wengi.amini katika mwenyewe.Usijiaminishe sana na wabongo uku mtandaoni utajikuta uko mwenyewe.wengi wetu ni mihemko na wafata mkumbo.Mbowe kwa miaka aliyoongoza chama ana wajumbe wengi machawa wa kumpigia kura za kushinda uenyekiti!
Ila wanachama wa kawaida tusio wapiga kura na tulio wengi tunamtaka Lissu....huo ndio ukweli mchungu!.
Kwani katiba inasemaje mzee? Mbona unajitoa ufahamu.Mbona alipinga JPM asiongezewe muhula? Mnafiki sana huyu mzee.