City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Tengenezeni huo mfumo wa wanachama kupiga kura.Tatizo sio mjumbe wa mkutano mkuu ila tungepiga wanachama sidhani hata Mbowe angefikisha kura 20.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tengenezeni huo mfumo wa wanachama kupiga kura.Tatizo sio mjumbe wa mkutano mkuu ila tungepiga wanachama sidhani hata Mbowe angefikisha kura 20.
Ndio ataona kwa mara ya kwanza wanachama wakiwaka kumpinga, kama alivyochukuaga fomu ya Urais na aliona moto wa wanachama kumkataa na sasa yatajirudia.Tengenezeni huo mfumo wa wanachama kupiga kura.
Jamaa wanafanya biashara haswa, jiulize CHADEMA 2015-2020 ilikuwa inapata ruzuku ya 350M nje na michango lakini haikuweza kujenga vitega uchumi vyake inamtegemea Mbowe pekee, ni utapeli tupuHizo nafasi ni tamu na zinalipa....sio rahisi mtu kuachia.
It's never about people, it's all about money and power.
Mbowe alisema ukomo wa madaraka sio issue kama watu bado wanampenda kiongozi meaning it doesn't matter katiba ina kubali au kukataa ila ukomo ni subjective.Kwani katiba inasemaje mzee? Mbona unajitoa ufahamu.
Kama katiba inaruhusu njia pekee ni kuibadili katiba ili ikizi matakwa.
Ndio nashangaa yaani tulikua na pesa nyingi ila eti bado Mbowe ndio kila kitu kufadhili chama. Huu ni ujinga, tunahitaji mabadiliko kwenye chama.Jamaa wanafanya biashara haswa, jiulize CHADEMA 2015-2020 ilikuwa inapata ruzuku ya 350M nje na michango lakini haikuweza kujenga vitega uchumi vyake inamtegemea Mbowe pekee, ni utapeli tupu
Kwa maslahi ya taifa upinzani upo ndani ya CCM ktk kumpata mtu sahihi. Huku nje ni miradi ya watu tu.Ndio ataona kwa mara ya kwanza wanachama wakiwaka kumpinga, kama alivyochukuaga fomu ya Urais na aliona moto wa wanachama kumkataa na sasa yatajirudia.
Hatuwezi kuchezewa hivi kila siku
Ukigusa tu mapato na matumizi ya ruzuku unaenda na maji unaitwa msalitiNdio nashangaa yaani tulikua na pesa nyingi ila eti bado Mbowe ndio kila kitu kufadhili chama. Huu ni ujinga, tunahitaji mabadiliko kwenye chama.
Mkuu nakubaliana na wewe kabisaKwa maslahi ya taifa upinzani upo ndani ya CCM ktk kumpata mtu sahihi. Huku nje ni miradi ya watu tu.
Na ndiyo maana hawezi kuondoka kwenye hiyo nafasi kwa sababu anajua umuhimu wake kwenye mzunguko wake wa pesa na fursa zinazo pitia kwenye siasa...Jamaa wanafanya biashara haswa, jiulize CHADEMA 2015-2020 ilikuwa inapata ruzuku ya 350M nje na michango lakini haikuweza kujenga vitega uchumi vyake inamtegemea Mbowe pekee, ni utapeli tupu
Jamaa ametukata maini aseeNa ndiyo maana hawezi kuondoka kwenye hiyo nafasi kwa sababu anajua umuhimu wake kwenye mzunguko wake wa pesa na fursa zinazo pitia kwenye siasa...
Huyo bado yupo yupo sana kwa sababu CHADEMA kwake ni uwekezaji.
Hoja hii hii CCM itumieni kuendelea kukaa madarakani. Kiufupi wameyatimba wenyewe😆😆😆😆Wakuu,
Mbowe anasema wanaosema aachie madaraka wakome, hajachoka, bado ana nguvu za kutosha na kuweza kufanya mikutano 8 kwa siku bila kula, kama kuna mtu ana nguvu kama yeye ajitokeze.
Mbowe asema ukomo wa madaraka ni watu wanaokutaka au kukukataa, na huu ndio ukomo halisi wa demokrasia. Kuna watu wakiongoza mara moja wanakataliwa, lakini wengine wanachaguliwa tena na tena, hawawekewi ukomo kwa sababu watu wanawataka.
Kama wanachama wanamtaka kiongozi fulani wewe ni nani kusema huyu amekaa miaka mingi aondoke?
Mbowe asema kuwa chama cha upinzani siyo kazi rahisi, ni kazi ambayo inahitaji watu waliyokuwa tayari na siyo kazi ya ukomo, ni kazi ngumu, kwahiyo watu wote wanaofanya kazi hiyo hawapaswi kubezwa wakati wowote, wanapaswa kupongezwa na kutiwa moyo kwasababu hawajajiweka wenyewe kwenye madaraka lakini pia wanafanya kazi ngumu ambayo watu wengi wanaikimbia, hivyo mmoja anatakiwa kupewa haki ya kugombea.
Mbowe ameongeza pia makelele ya mtandaoni hayamnyimi usingizi, anachoangalia ni kukijenga chama, na kuwaonya wanaoendelea kumtukana wasije kufikishana pabaya baada ya uchaguzi
Kwahiyo tusiwasikie tena mkitoa hoja kuhusu lipumba, spunda, cheyo nk.Wakuu,

Ni sahihi ila kama katiba inaruhusu acha ifuatwe hadi hapo watakapo badili. Ya magufuli ilipingwa kwa kuwa katiba haikuwa inaruhusu.Mbowe alisema ukomo wa madaraka sio issue kama watu bado wanampenda kiongozi meaning it doesn't matter katiba ina kubali au kukataa ila ukomo ni subjective.
Cha ajabu kwa JPM walipotaka badili katiba kuondoa vipindi viwili vya urais alipinga wakasema ni udikteta. Ndio sasa hizi double standards ndio tunapinga.
Kuhusu tubadili katiba, yes ndio ajenda ya Lissu kwamba akiingia ukomo unarudishwa maana chama kim3shakua sana
Ya chadema ilikua hairuhusu lakini mbona ikabadilishwa? Katiba sio Biblia au Quran kuwa haiwezi kuwa edited. Sasa Mbowe anasema muhula sio issue kama watu bado wanakupenda (hajaongelea katiba inamruhusu) meaning hata kwa JPM kama kuna watu walikua wanampenda ilikua sahihi aongezewe mihula.kwa kuwa katiba haikuwa inaruhusu.
Mbowe aliahidi kupisha 2023 kwahiyo walijua tu kufikia 2024 wangeshabadili katba na kuchagua viongozi wapya.Huyu Lissu ni walewale, yupo chadema kitambo hajawahi kukisaidia chama kuboresha katiba. Leo anaona inampa wakati mgumu ndio anaanza kupiga kelele.
Unabadilishaje na Mwenyekiti bado ni Mbowe? Zitto si alijaribu akaitwa msaliti.Wakimaliza hili, iwe lisu kushindwa ama kushinda kama wanaona ajenda ya ukomo ni mhm basi waibadilishe